Halima Mdee amjia juu mwenyekiti na kubishana naye: Live Bungeni jioni

Kelele za chura hizo wana cdm tumewazoea sana kwani mmeanza leo kutukana?mwacheni mtei na chama chake wandugu aliyeweza kufanya ufisadi kufuru na kuanzisha cdm leo mnatapakaa barabarani bila aibu mkipinga ufisadi whle chama chenu kilianzishwa kifisadi kwa wiz wa hela ya mtanzania looh
 
Kelele za chura hizo wana cdm tumewazoea sana kwani mmeanza leo kutukana?mwacheni mtei na chama chake wandugu aliyeweza kufanya ufisadi kufuru na kuanzisha cdm leo mnatapakaa barabarani bila aibu mkipinga ufisadi whle chama chenu kilianzishwa kifisadi kwa wiz wa hela ya mtanzania looh
duh... una juhudi rafiki.. vp mlipigwa semiwma elekezi nini.... safi lakini.
 
Kelele za chura hizo wana cdm tumewazoea sana kwani mmeanza leo kutukana?mwacheni mtei na chama chake wandugu aliyeweza kufanya ufisadi kufuru na kuanzisha cdm leo mnatapakaa barabarani bila aibu mkipinga ufisadi whle chama chenu kilianzishwa kifisadi kwa wiz wa hela ya mtanzania looh
Hebu waeleze, cuz hawajui hata cdm ilianzaje! Kazi tu kushanikia pumba zao!
 
Mimi nachoka sana. Hapa nipo maeneo ya Kimara, umeme umekatika tangu tangu saa 12 na nusu. Ninapoandika sasa hivi kwenye laptop yangu bado nusu saa chaji ikatike, tenda ndani ya jiji. Alafu hawa washenzi wanazidi kutuzingua na kubebana bungeni. Ni hatari sana kwa ushenzi kama huu. WAKUU, TUFANYEJE JUAMANI........!
 
mmmh mi nadhani hili bunge linatuaibisha kimataifa, kwanini tusilikatae uma jamani? hivi hata majirani wakiangalia wanatudharauje? raisi hawezi kufanya maamuzi, bunge ndo uozo kama huu kila siku! tuingie road tukatae wabunge vilaza!
 
Hiyo inaonyesha aina ya wabunge tulionao.Wananchi wapate kujifunza kuepuka kurudia makosa 2015.
 
Big up Halima Mdee,big up CDM.

This is another proof that:CCM is just a bunch of HOOLIGANS! The hooliganism behaviuor in CCM shall never cease until the party itself comes to a total collapse and completely dead,buried and forgotten for ever comes year 2015.

Lowasa,the CCM cadre have told them CCM that if they daren't take bold decisions their end is too nigh! Let them just continue making jokes and funny things to the opposition(KUB). Let them continue playing with The-Posho Mill, we,Tanzanians we're just watching them with an angle eye.

Think about,the country is in a TOTAL BLACK OUT now to continue for the next SIX MONTHS!
Here comes a bunch of hooligans from CCM discussing how to maintain or increase The Posho MILL instead of discussing serious issues like how they gonna resolve the POWER CRISIS! What the hell of these fools doing in the august house???????!!!!!!!Just tell me!


Surely CCM days are numbered,they gonna die a cockroach-mende death: PINDU CHALI-MIGUU JUU. Pambaf kabsa. Maaruni wahead!
 
Hivi 100% si inamaanisha hakuna kasoro, sasa hawa wabunge wa CCM wanaunga hoja mkono kwa 100% halafu wanaanza kuporomosha matatizo. Mimi nawashangaa sana hawa watu. Afadhali Mdee angeenda kumpiga kibao yule anaejiita Mwenyekiti pale mbele.
Mdugu yangu huu ndo uthibitisho wa wabunge wanafiki, hata mimi huwa linanikera sana hili, kumbe na wewe umeliona, eti naunga mkono asilimia 100.
 
rejao kweli we ni sawa na bata! Mbona unaugonjwa wa kutoelewa?jamani shule za kata zinaharibu watanzania!
 
Tatizo wabunge wa ccm wameandaliwa kwa sisa za majukwaani. Sasa huyo mh madabida kachangia hoja au alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara?

Hapana, wabunge wa CCM ni vipunga tu. Hawajui wafanyalo.
 
Huyu hafiki 2013! Inabidi wananchi wa Kawe wasimame kidete kumwondoa! Badala ya kwenda kuwatetea anakuwa mtu wa mipasho bungeni! Poor girl!
umeona umuhimu wa kuwatoa wanaoboronga eh, basi simama kidete kumuondoa kikwete anayetafsiri hekaya za abunuasi, eti maisha bora kwa kila mtanzania, kuna mtanzania mwenye maisha bora kijijini wewe paka, kikwete atoke! anapokea rushwa wazi wazi (wachina wamemhonga majengo ya shule ya msingi kijiji kwao msoga, unafikiri hatujui) najua hukusoma, basi tumia basi hata akili za kenge, usiloweshwe na matone ya mvua, jitupie mtoni ulowe mara moja, kama unafikiri h.mdee kakosea, basi akili yako haina akili kabisaaaaaaaaaa, angalia usije vaa ch.up.i kichwani siku moja. ohooo!! shauri yako.
 
Back
Top Bottom