hali zenu wanaJF

MwenyeNeema

New Member
Apr 24, 2009
2
0
Hamjambo wana JF? Hii forum inaelimisha mambo mengi, kweli ni Home of great thinkers, tudumishe hili kwa kuandika katika lugha safi,ili tuendelee kujifunza na kuburudika pia.Ahsanteni wenzangu wana JF!
 
Karibu sana ndani ya JF Where We Dare to Talk Openly, mwenyeneema tunategemea kupata mazuri mengi kutoka kwako.
 
Samahani sana niliingia bila kukaribishwa sikuwa najua kuna sehemu ya utambulisho. Nami ni mwana JF mwenzenu tangu tarehe 23 Apr 2009.

Kwakweli hapa ni mahala tunapothubutu kuongea kwa Uwazi.

JF Idumu na kudumu zaidi na zaidi. Amen
 
Hamjambo wana JF? Hii forum inaelimisha mambo mengi, kweli ni Home of great thinkers, tudumishe hili kwa kuandika katika lugha safi,ili tuendelee kujifunza na kuburudika pia.Ahsanteni wenzangu wana JF!

Karibu sana katika JF mwenyeneema.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema ya kukujaalia tawfiqi ya kujiunga na JF.

Hongera sana kuwa mwanachama wa JF.

Sisi sote kwa uwezo wa M/Mungu hatujambo na ni matumaini yetu nawe hujambo.

Ni kweli kabisa JF ni Home of great thinkers na sehemu ya kuelimisha na kujielimisha.Kwahiyo Tunashukuru kunufaika kupitia sisi nasi tunataraji kunufaika kutoka kwako katika JF.

Shukran kwa nasaha zako kuhusu kudumisha na kuchangia katika lugha safi kwa ajili ya kuwanufaisha na kujinufaisha.Hii ndiyo njia pekee ya kufanya kiburidisho na kujifunza kwa raha tupu.

Mwenyezi Mungu atufanye sisi sote tuwe wachangiaji wenye kuwa mfano bora wa kuigwa ndani na je ya JF.

Nawe shukran sana kwa lote la kheri uliyo kusudia kwa ajili ya faida yetu na JF.

Was-Salaam.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom