Hali Zanzibar: Ni upi msimamo wa CHADEMA?

Tundu Lissu alipotukanwa na wabunge wote toka Zanzibar wakati akizungumza kweli mlikuwa na maoni gani kule kwenye mtandao wenu wa Mzalendo zaidi ya kuendeleza matusi??

Nyie wazenj mna akili fupi sana kama maisha ya funza!

Muwe mnawasikiliza vizuri kina Lissu mambo yakifika kombo ndio mnalialia hapa!

Iungeni CDM mkono au endeleeni kutawaliwa na Sultani au Magamba!
 
Ndi mana mkaambiwa vijana wa chadema mmekosa busara na hii itawaharibia baadae kwa uhuni wanu wa maeno mabovu na mnavyozijibu hoja za watu wenye akili na wanao penekeza masuala ya maendeleo.amakweli ufadhili mbaya. Zito na mnyika ni watu wanaoongea sana kutokana kutoka na matatatizo mbali mbali ya hali ya amani ya nchi hii kulikoni.
 
Mustakabali wa maisha ya watu duniani kote hayategemei chama,dini,umaskini na utajiri bali ni watu wenyewe kuamua namna gani iliyo nzuri kwao kuweza kuishi mfano ni jamii ya wahazabe.Kwa mantiki hiyo masuala ya dini,siasa,sheria umaskini na utajiri vyote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo ila cha msingi kila mtu/binadamu awe na upendo kwa mwenzake,kuondokana na tamaa hizi za dunia na kila mtu kwa nafasi yake aabudu yule ambaye yeye anafikili ni MUNGU WAKE pasipo kuathili FIKRA za mwenzake na MUNGU wake.Kwa ufupi hakuna haja yoyote ya KUHUBILI DINI,SIASA ama kuendesha sijui BAHATI NASIBU....ILI ........HII NDIO MAANA KILA SIKU WANATU..:israel:
 
KERO ZA MUUNGANO NA PALE WALIKOKWAMIA CUF NA CCM KULE VISIWANI, CHADEMA WANALO JIBU TENA MARIDHARA KWA TAIFA ZIMA BARA NA VISIWANI - SERIKALI ZA MAJIBU ZINAZOKUTANIA TU KWENYE SERIKALI YA SHIRIKISHO

THINK-TANK ya CHADEMA ifanyeni Homework yenu vyakutosha juu ya sekeseke za Tanzania Visiwani. Japo yanayoendelea huko ni UCHURO lakini si kweli kwamba yote ni uchuro mtupu.

Yapo Madai ya kweli kabisa walioainisha hawa wenzetu wa kikundi cha uamsho ambayo CHADEMA lazima tukayatafakari na kuyatafutia majibu ya kuridhisha.

Kweli ni chukizo ajabu Wabara kufukuzwa kama mmbwa koko Visiwani, Wakristo na Ukristo kuwindwa kama swala porini lakini a Good Thinker ni sharti aende mbele zaidi ya hapo na kujiuliza kwamba tumefikaje hpo kwanza. Tathmini yangu juu ya madai ya Wazanzibari kupitia mihadhara ya Wana-Uamsho ni pamoja n haya:

1. Wenzetu ni kundi kubwa la watu waliofikiwa pomoni na matatizo lakini WAMEKOSA PAKUWASIKILIZA BILA UNAFIKI;

2. Adui mkubwa ya WaZanzibari iliowafikisha hadi hapo pa kuona aheri wakatae jumla hata na hako Ka-Muungano ni UMASIKINI WA KUPINDUKIA katikati yao;

3. Kwa matokeo ya Serikali ya sasa ya Umoja wa Kitaifa kati ya Makada wa CUF na CCM, WaZanzibari wengi wanajihisi KUSALITIWA MAANA HAWAJAONA CHOCHOTE KILICHOBADILIKA KATIKA MEZA YAO wala mlo kuongezeka kitu kwao isipokua tu baadhi ya viongozi wachache tu na maswahiba wao kujineemesha katika vyama vya CUF and CCM.

Ujanja ujanja huo uliochezwa na ile 'Kamati ya Makamba / Maalim Seif' kwa WaZanzibari, kwa mujibu wa tathmini yangu binafsi, ndio kiini cha EXPLOSION OF VIOLENCE in the Isles.

The two parties seem to be hidding their heads on the sand about the GENUINE STRUCTURALLY BIASED SOCIO-ECONOMIC PLIGHTS of the Islanders down there, which may in some days culminate into 'SOMETHING WORST' than what we witnessed a few day ago,
AN IMMEDIATE AND RATHER SOFTER 'COMMON-ENEMY' to pelt-off their time-long angers so subconciously occurred to be CHRISTIANS AND ANY OTHER THING THAT STANDS FOR CHRISTIaNITY in the island.

In a sense, my independent analysis gives me that Christians and Mainlanders in the Island were merely VICTIMS OF CIRCUMSTANCES of a most suffocating public that do not even know who exactly to lament to yet silence is never any warmer a seat home for them with the daily increasing poverty-biting on their back-curved empty bellies. The cite cases of:

i. Roads in pathetic conditions as Mainlanders are currently going for a a-five-lane double road;

ii. Zaini and other numerous industries being magnetically pulled to Dar vacating their neighbourhoods as we cry foul in Dar for factories errected in residential places ;

iii. A miserably Inome inequality and poverty to the extent that an individual fundraiser exercise for a mere Tsh 300,000/- for hospitalisation would demand an effort of visiting over 60 Mosques but without any success;

iv. Double-taxation of both Island and mainland TRAs becomes a most deterring factor for both home nd foreign investments to them

v. And a host of other socio-economic factors all add up to Zanzibaris TOTAL AND POINTEDLY UNREASONED REJECTION of the presence of the Union Government.

NB: Kutokana na baadhi tu ya haya maoni toka Unguja na Pemba, mimi kama mwanachama wa CHADEMA, napendekeza hivi sasa kwa uongozi wangu Taifa ichukue hatua mara moja kwa kuunda KIKOSI-KAZI CHA MALALAMIKO JUU YA MUUNGANO - ikapate kufanya kazi ndani ya siku 21 kuongea na wananchi (si kikundi cha Uamsho) mashinani kuwatafuta maoni nini malalamiko yo Juu ya Muungano (WaTanganyika kwa WaZanzibari kupitia random sampling) na tiba gani wanaiona kwa ajili ya KUBORESHA NA WALA SI KUVUNJA MUUNGANO.

Mara baada ya ripoti hiyo kuwekwa pamoja, CHADEMA ishirikishe wadau mbalimbali juu ya mambo walioypata kutoka kwa wananchi mashinani, kuwaomba nao wadau hao maoni zaidi KISHA RIPOTI ITAKAYOKUA IMEBORESHWA NA WADAU kwenye maoni yale ya mashinani sasa ipate kupelekwa KAMATI KUU YA CHAMA CHETU kuijadili kiundani zaidi na zaidi kisha kutoa jibu la kisera kichama juu ya nini kifanyike kKUNAWIRISHA 'MUUNGANO' kwa faida ya taifa zima na wala si WaZanzibari peke yao.

Katika hatua hii ndio muda mwafaka sasa CHADEMA kuteremsha Sera yake juu ya Muungano na kusaidia wananchi pale ambapo CCM na CUF wao walishindwa na kuamua kuitana kishikaji kwenda kula mabua pamoja kwenye jukwaa linaloitwa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA Zanzibar isiokua na tija yoyote kwa wananchi wa kawaaida.

Remember, it is always during a time of IMMENSE NATIONAL CRISIS AND CONFUSION like this ndipo COOL-MINDS hutambulika hata bila kujinadi huko mitaani kwa vyeo uchwara, kujichukulia japo ka-sekunde kufikiri kwa faida ya taifa hata kama wengine wasiopenda badadiliko waamua kumbandika jina eti mhaini.

Do something now CHADEMA; we can be a party to offer permanent solutions to age-long challenges where everybody seems to be shivering their spinal-cords off as they water their pant for mere inability to FIND OUT THE RIGHT THING TO DO without escalating any further blood-letting scenes in our neighbourhood!!

Wenu UWEZO TUNAO.


MTEGO WA CCM KUTUMIA KARATA YA UDINI VISIWANI WAZANZIBARI WAPENDA MABADILIKO PAMOJA NA CHADEMA WATAUTEGUA TENA KWA AIBU YA MTEGAJI HIVI KARIBUNI

Lengo zima la kufanya shughuli za uchomaji makanisa Zanzibar umefanyika makusudi na CCM ili kutafuta KUKIWEKEA MTEGO CHADEMA ili chama hiki kisije kikaingiza ushawishi wake huko wala kuzoa wanachama kwa kutumia chombo chake cha M4C.

Hata hivyo mtego huu ni lazima CCM ndicho kitakachonasa humo chenyewe maana Wazanzibari na CHADEMA hadi sasa wanazungumza lugha moja kuhusu sera juu ya AINA YA MUUNGANO tutakaoutumia hapo baadaye kidogo.

Laiti CCM wangejua jinsi gani Tanzania Visiwani wanavyosubiri kwa hamu kupokea CHADEMA pamoja na M4C huku Mhe Tundu Lissu akipambanua zaidi mambo hadharani huko ... we acha tu!!!
 
MAPENDEKEZO YA CHADEMA
Chadema jana kiliwasilisha mapendekezo kadhaa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;
mojawapo kikitaka kuwapo kwa mfumo wa shirikisho wa serikali tatu kwenye Katiba Mpya.
Katika mfumo huo, Chadema kinataka kuwapo kwa Serikali ya Tanganyika na Zanzibar, ambazo kila moja itakuwa na mamlaka kamili ya Rais, Bunge na Mahakama, na kuwapo pia kwa Serikali Ndogo ya Muungano. Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Chadema iliyokutana na Tume hiyo jana, Tundu Lissu, alisema katika mapendekezo waliyoyawasilisha kwa Tume, wanataka Rais wa Serikali ya Muungano achaguliwe na wabunge wa Bunge la Tanganyika. Pia achaguliwe na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, magavana, mameya na wenyeviti wa halmashauri za wilaya. Lissu, ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya sekretarieti yake kukutana na Tume hiyo jana. Wajumbe wengine waliounda sekretarieti hiyo, ni Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai);
HOJA YA UAMSHO
Serekali ya Zanzibar yenye mamlaka kamili, Srekali ya Tanganyika na Serekali ndogo ya mkataba wa Muungano.NI IPI HAPA TOFAUTI?
 
Back
Top Bottom