Hali yachafuka singida mjini.

WAKIRISTO HAMNA HISTORIA HIYO, HAMUWEZI KITU. Kumbuka waislam ndo walimtoa mkoloni aliyekuwa akicheza dansi makanisani na kutunyonya.
Nadhani unaongea kujifurahisha, soma historia za crusades itajua kwanini karne za kati uislamu ulifutwa ulaya hasa spain! haya mambo ya kupigwa shavu la kulia na ukageuza la kushoto nadhani wengi hawajaelewa manake nini. Siku zaja kitaeleweka tu! Bahati yenu bush alitoka madarakani mngejua lengo lake halisi!
 
WAKIRISTO HAMNA HISTORIA HIYO, HAMUWEZI KITU. Kumbuka waislam ndo walimtoa mkoloni aliyekuwa akicheza dansi makanisani na kutunyonya.
Mi nlidhan mlikosa elimu... Kumbe hata akili za kawaida hamna!...
 
baadhi ya waislam wanaharibu jamani. sio wote,wengine ndio hao tunaopigania nao haki zetu kila kukicha.
 
Nazidi kusisitiza, MOD uko wapi?, au uko Loliondo kukamata kikombe?, Ondoa hizi CRAP. Thread hii inachochea vurugu hapa janvini.:focus:
 
mioyo yao imejazwa na chuki, sitamani kuwa kwenye majibizano nao kwani sitakuwa tofauti nao. Maisha yao hayana amani, wanataka kuambukiza wote ugonjwa wao mbaya wa chuki. Mshindwe kwa jina lake Bwana Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom