Hali yachafuka singida mjini.

mashehe na mapadri wasiwe chanzo cha migogoro katika taifa letu..mbona freemason wenye nchi wao wamenyamaza hizi dini mbili kwani zinadhani ndio watawala wa taifa hili? washindane kwa maendeleo ya kuanzisha vyuo na biashara....pia kuwa na waumini watihifu hakuna mtu atayesifiwa kwa kuwa mdini zaidi ya kuonwa ni mjinga tu
 
Mashekhe wengi ni maisha duni waganga njaa, na mbaya zaidi hawana shule! Wadudu kama hawa rahisi sana kutumiwa! CHADEMA stay focused!
 
wataongeleaje siasa kwenye mikutano ya dini??na ile ishu ya arusha wao walikua wa kwanza kusema maaskofu wasiingilie siasa yaani waislamu hapo ndio huwa mnanichanganya sana badala ya kumjadili mtume mnaanza kuijadili serikali au biblia hivi ni nini huwa kinawakereketa??mie nilipoona kichwa nikajua ni mambo ya kidini kumbe siasa!!!msichanganye kabisa dini na siasa!
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!
 
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!

wameshazowea kudanganywa hao, binadamu mwenzao wameambiawa Mungu pia wamekubali,
 
Siku zoote anayekujadili anakuogopa,anachofanya ni kujilinda bila kutambua anachokifanya kinamshuhia hadhi au kuzidi kumjengea maadui,najua wanauchafua uislamu kwa tamaa zao,hatutamfumbia macho hata kama awe Mwenyekiti wa Jumuiya ndogondogo akifanya ubadhilifu wa mali ya Umma.
 
MOD uko wapi ?, au uko Loliondo?!, inakuwaje unaacha janvi letu linachezewa na hawa hamnazo?!. Plz, do the needfull.
wapo ambao wanazomea ,na wakiendelea uvumilivu utatushinda kwani hatuwezi kukaa kimya muislamu mwenzetu akinyanyaswa na Kafir wa CHADEMA.
Haki sawa kwa wote na sio maaskofu kumdhalilisha rais wetu.
 
Ni wazi tunaelekea kubaya...waislamu,wakristo na dini nyingine yeyote tumeishi kwa upendo wa hali ya juu siku zote na wengine ni ndugu tushachanganyika, wanaojibu hiyo hiyo hoja au ni lalamiko kwa kuwashutumu waislam moja kwa moja hawatendi haki...ni vyema ufikiri kwanza kabla ya kutoa maoni yako vinginevyo ndo mtakua mnachochea zaidi suala hili...
 
WAKIRISTO HAMNA HISTORIA HIYO, HAMUWEZI KITU. Kumbuka waislam ndo walimtoa mkoloni aliyekuwa akicheza dansi makanisani na kutunyonya.

kwa nn mlimpa kafir uongozi, ina maana wote hamkua na sifa za kutawala nchi kama kweli uhuru mulitafuta peke yenu?
 
HIVI JAMANI HEBU TUKONGOLI BONGO ZETU TUANGALIE KWA KINA MAMBO MAKUU YANAYOZUNGUMZWA KATIKA MIKUTANO YA CHADEMA
1. UFISADI WA VIONGOZI NA SERIKALI YA SISIEM.......= HIVI HUU NI UKRISTO?
2. MAISHA YA MTANZANIA MAGUMU.....= HIVI HAPA WANAONGELEA UKRISTO?
3. WATANZANIA TUSIKUBALI SERIKALI ILIPE DOWANS....= HIVI HAPA WANAONGELEA UKRISTO?
4. VIONGOZI WETU WANAINGIA MIKATABA MIBOVU......= HIVI HAPA KUNA UKRISTO?
5. VIONGOZI WETU NI WALA RUSHWA, WABINAFSI NA MAFISADI......=HIVI HAPA WANAZUNGUMZIA UKRISTO?
6. UCHAGUZI MKUU HAUKUWA HURU NA WA HAKI....= HIVI HAPA WANAZUNGUMZIA UKRISTO?
7. HAWAKUMTAMBUA RAISI KWA KUWA MATOKEO MENGI YALICHAKACHULIWA= HIVI NAYO HII NI UKRISTO?
8. WATANZANIA WANAPASWA WAFURAHII UCHUMI WAO .....=HIVI HUU UKRISTO?
9. SISIEM INAPASWA ITOKE MADARAKANI. MAANA IMESHINDWA KUONGOZA.....= HAPA KUNA UKRISTO?
10. HATUMTAMBUI MEYA WA ARUSHA KWA KUWA HAKUCHAGULIWA KIHALALI....= HUU NI UKRISTO?


HAYO NDUGU ZANGU NI MACHACHE TU MIONGONI MWA MAMBO YANAYOTOKEA KATIKA MIKUTANO YA CHADEMA. SASA JIULIZENI KUNA JAMBO LOLOTE LIMEZUNGUMZIA DINI AU UKRISTO HAPO? !!!!!.... JIBU NI HAPANA........
SASA UKRISTO WANAOZUNGUMZIA WENZETU UNATOKA WAPI?????????????????????????????????????
MIMI nazani tatizo kubwa linalowasumbua ndugu zetu hawa ni uelewa mdogo!!!!!!!!!!
Pia ina nipa shaka kama hawa maimamu wetu hawatumiwi!!!

Mimi nawaasa ndugu zangu WAISLAM ambao ni wasomi waelimishe ndugu zao hawa ili watambue kuwa yote yanayozungumzwa na CDM yanalenga kutatua matatizo yanayowazunguka.Matatizo ambayo hayawahusu wakristu peke yao. Ni wema basi ndugu zangu Waislam waunge mkono harakati za chadema katika kumkomboa MTANZANIA.
 
Mimi muislam na uislam unasema hivi utakapoona muislam mwenzio anadhulumiwa mtetee na pia atakapodhulumu mkataze sasa mashekh we2 wanachosema CDM serekali inadhulumu sasa mbona hamumkatazi kikwete anapodhulumu pesa ya walipa kodi kuwapa mafisadi pia uislam unasema dua ya mwenye kudhulumiwa inaenda 1 kwa 1 kwa mungu haina kizuizi mbona hatumwambii kikwete mimi nawaomba wana JF wasiwalaumu waislam bt wawalaumu hawa mashekh ubwabwa wanao2miwa na wanasiasa

Kama chdema walivyokuwa wanafadhiliwa na kanisa.

Jino kwa jino
 
OOOOh Mashekhe kanzu na ubwabwa i hope hapo walipo walikuwa na ndizi zao mfukoni ili wakimaliza walilotumwa wakapige mpunga wao walioahidiwa na MAFISADI ........... Mungu wasamehe watu hawa kwani ni uamsikini wao uliosababishwa na mafisadi ndio unaopelekea leo hii kutumika.....
 
Mtoa mada anaonekana na yeye ni mhusika wa hi habari ni vema angejibambanua tu na si kujifanya si mmoja wapo il hali mwishoni anasema Takbir!
 
Kule kuleeeee kwa wasio na elimu.. Mbona hawakwenda Mbeya? Ujinga unatucost sana watanzania, Baba wa Taifa tuombee!!!
 
Ukweli ni kuwa mafisadi wanawekeza kwa viongozi dhaifu, waroho wa fedha ili kuvuruga waumini wao. Lengo ni kuwachanganya waumini na wananchi ili wao waendelee kunufaika na raslimali zao. Wizi hauna dini wala imani. Sijawahi kuona kibaka anayeuliza huyu mtu dini gani kabla ya kukwapua mkoba wake, au simu yake. Utaona wanavyojiingiza makanisani kuleta ufadhili uchwara wa kwaya, au majengo ya ibada n.k Mtakumbuka hata R A amewahi kusali kanisani na kupeleka msaada wa kwaya ili makanisa yasimlaumu kwa ufisadi wake. Hivyo hata hao waadhiri walio Singida wamelipwa na mafisadi ili kuwakoroga wana Singida tena bila tathmini nzuri maana hata hao wakristo wanao washambulia wengi ni wana CCM. Hatimaye watawafanya wahamie Chadema. Tusidanganyike na hila za mafisadi!!!!
 
Haki sawa!.. Nna wasiwasi na uelewa wako, utamuitaje mtu mwingine asie muisilamu Kafir?.. Title yako inasema singida hali imechafuka, inadhihirisha ni jinsi gani unavyowaza machafuko, vurugu wenyewe mwaita Jihadi... Umeingia akilini kwa hao wakristu na wakakwambia wanataka kuchafua?? Au kuwepo kwa wakristu ni machafuko??.. Think bro!..
Ila nahisi lengo lako ni kupata JF Attention nadhani umeipata...
 
Back
Top Bottom