Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

Angepewa tiba kwanza then hayo mengine baadae

wapo wengi sana kama yeye, laiti ungejua ni wangapi wanafia mahabusu kwa kukosa haki.... ungeungana na wanaopigania haki sawa

My point hapa ni kwamba this thing is not new and it shouldnt be unexpected, ila ni LAZIMA IWE CHACHU YA KUTAFUTA UTAWALA WA SHERIA
 
kama alikuwa anajua anaumwa kwanini anapanga mauaji! acha polisi waendelee kufanya kazi yao!

Wewe kwa roho uliyonayo utaishi muda mrefu sana na hii itakuwa adhabu yako tosha kwani kutolewa ndani na kuanikwa juani kama nafaka si mchezo. Sababu mtu mwenye utu hawezi kuwa na maneno kama haya hii inaonyesha jinsi gani nyie maCCM mlivyozoea kuua.
 
Masanilo my brother

Nawashauri kuwa makini sana na LWakatare.......... msije mkaingia chaka

yes it is not fair kunyimwa haki, lakini issue yake inabeba zaidi ya misalaba

kuna walionyimwa haki na jamii ikakaa kimya, hakuna uhakika wa 100% kwamba jamaa ni clean, his history is betraying him and the "system" has really done his homework in protecting the ruling community

Just handle this matter with care


mkuu neno fair linapunguza makali ya anayotendewa lwakatare , huo anaotendewa ni unyama anastahili apate haki ya matibabu.kama polisi wamefanya homework yao ya kutosha kuhusiana na hili inakuwaje hawajampeleka bado mahakamani?
 
msitudanganye huyu Bradley Manning huko kwenu amekuwa ndani siku ngapi. wale watu wa osama siku ngapi.
uingereza siku ngapi kama sio 28.

gaidi akifia ndani sawa tu

Kwani wewe ni muke ya fisadi gani ndani ya chama chetu? Kati ya nape au mwigulu
 
wapo wengi sana kama yeye, laiti ungejua ni wangapi wanafia mahabusu kwa kukosa haki.... ungeungana na wanaopigania haki sawa

My point hapa ni kwamba this thing is not new and it shouldnt be unexpected, ila ni LAZIMA IWE CHACHU YA KUTAFUTA UTAWALA WA SHERIA
Nimekupata sana mkuu
 
Ala! leo hii tena ndo mnaaza kujua kuwa hata mtuhumiwa/muhalifu anayo haki ya kupata matibabu?
si ni nyinyi CDM mloshikilia mabango kuwa sheikh Ponda na viongozi wetu wa UAMSHO wasipewe haki hizo mnazozipigia makelele leo. Mkuki kwa nguruwe?

Unachefua! mbona unajitoa akili sana!
 
Sukari na ipande mpaka iwe asali shauri yake,mungu analipa hapa hapa duniani.
 
Chadema wana busara na uvumilivu lasivyo kwa mambo wanayotendewa nchi isingekuwa inatawalika.
pole sana ndugu Lwakatare.
 
Kweli mtu anakuwa chini ya polisi kwa masaa karibu 72 bila kuwa charged na watu wanasema wanaheshimu 'utawala wa sheria'?

Kama Polisi wangekuwa na ushahidi wa kutosha kutengeneza kesi wangeshamfikisha mahakamani kwa mara ya kwanza ili awe charged. Sasa hivi inaonekana hawatafuti ukweli tena bali wanatafuta namna ya kuwa-tie watu wengine kwenye huu uzi ambao wanaamini wanao.

Hallow,picha yako nimeipenda,ina nikumbusha gazeti la Mwanahalisi,
Lakini mambo haya yaatendelea muda mrefu kwa kua watanzania kuna ugonjwa wa kuto ipenda haki,nasema hivyo kwa kua Familia ya Lwakatale wanafanya juhudi gani mpaka sasa, naona wanasheria wanahangaika peke yao huku Familia haijihangaishi kabisa na jambo hilo,Hata hivyo upofu huu watanzania utaisha lini,ni wakati wakufikia hatua magamba watolewe kafara, kwani?... hatuwezi kuishi bila magamba.....,kuna wakati famlilia ikifiwa hujenga hofu kua maisha yatakua machungu kuliko kawaida na baada ya hapo familia huzoea na kumkabidhi mungu maisha ndio ufumbuzi,lakini believe me we can still make it without Magamba,haya majamaa niko karibu nayo,wanajua fitna vibaya,jiulize chaguzi za ndani wanavyofinyana kama wehu,sembuse kuiacha nchi,we need to work as a team to eliminate this monster,vyama hivi viweke lengo la kuiondoa cm(magamba),waunganishe nguvu,la sivyo these devil are more capable than we are thinking of.
 

Attachments

  • mo2.jpg
    mo2.jpg
    68 KB · Views: 56
guys,these people are very curious to lead a nation,so,we need to convice as many people as we can to join CDM by then things can work out, Magamba wamewaharibia watu wengi sana maisha,waathirika wa chaguzi zao kuna wengine wanalia dhidi ya fitna,na hujma walizo wahi kufanyiwa,sembuse kuwang'oa,tuunganisheni nguvu kikwelikweli.VIVA cdm
 
be careful,naweza kua nyuma yako kwa sasa na kukuamuru utuambie mazuri yaliyofanywa na Magamba toka uhuru na kama si dhuruma basi ni majungu, unayo yaona yanaendelea kwa sasa yameanza siku nyingi lakini muda umefika ndio maana yako wazi,i hate Magamba very much,the hate i have transform to you as well,unawajua magamba unawasikia,jaribuni kubadilika,haiwezekani watu msione kila mabaya lazima kuna faida humo.
 
Nchi hii mafisadi wanafanya kila linalowezeka kulinda maslahi yao.....itajulikana 2015
 
Back
Top Bottom