LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,234
- 883
God bless Tanzania!
mkuu mbona waongea kishabiki? Hao TCRA wana fedha nyingi kiasi gani hadi watulipe mishahara wafanyakazi wa umma?
God bless Tanzania!
maisha bora kwa kila mtz yanawezekana
mKUU, mwenzio nishaanza kusinzia hapa halafu nawe wanichekesha hadi umenifukizishia usingizi wangu!!! Mbwembwe za nini ktk utendaji?! Yaani kv tu wana-JF wanasema serikali imefilisika ndo basi tena lazima waoneshe kwamba bado wako fit?! Hivi tangu tulipoambiwa serikali imefilisika hapo leo!!! Alianza Zitto Kabwe, zaidi ya miezi 4 iliyopita,lakini tunaona wa2 wanadunda tu!!! Let's be reasonable, mapato ya serikali ya uhakika ni yale yatokanayo na makusanyo ya kodi kupitia TRA. Then, hebu tuangalie mapato ya TRA miezi 12 iliyopita halafu tuangalie na mapato kwa sasa (halafu tu-adjust inflation) na kisha tuone kuna deficit kiasi gani!!! Ukitumia simple logic kama hii pekee, wala mtu hawezi kunishawishi kusema serikali inafilisika unless niangalie suala hili kisiasa zaidi!
DazNaz nashukuru kwa uchambuzi yakinifu kwa kadri ya uelewa wako. Lakini bado nipo pale pale, kwa nini wacheleweshe mishahara wakati awali kwa watumishi wa serikali hasa majeshi hali hiyo ilikuwa nadra sana?Nakubaliana na wewe kwamba kufilisika ni mchakato!!! Hata hivyo, point yangu ni kwamba, mimi nimeshahusika sana na suala hili la mishahara wakati nipo benki fulani miaka michache iliyopita. Fluctuation ya tarehe za kulipa mishahara haijaanza leo, hivyo ikiwa fluctuation hiyo ndio dalili ya kufilisika basi ingekuwa tumeshafilisika zamani. Mkuu, asikuambie mtu; kufilisika sio kitu rahisi kiac hicho. Inawezekana, lakini ktk mazingira ya sasa bado sana na hakuna indicator ya kufilisika.....suala la kuchelewa mishahara wiki moja au mbili bado sio kigezo cha kufilisika.Kuna wakati fulani nilikuwa nahusika na posting ya mishahara ya TAZARA, ilifikia wakati una-post mshahara November kumbe ndo mshahara wa September huo!!!!! Je, sisi (kwa maana ya TZ gvt) tumekaribia huko?!
wanajf salaam!
hivi ni kweli kwamba hali ya serikali ni tete kiasi cha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi mpaka sasa?
nikiwa miongoni mwa wafanyakazi wa umma,nimepata salary slip yapata 4 days now ila hundi ya mshahara haijapelekwa bank,nimemuuliza mhusika w kwa hapa ofisini kwetu anasema serikali haijaleta pesa wao wametoa slip in advance tu.
mwezi uliopita kuna mjumbe wa jf alitoa mada hii mimi sikutilia maanani kwa kuwa mwezi ulopita sisi tulipata mishahara mapema ila sasa nadhani ndio zamu yetu....
duuu napata hofu na muelekeo wa serikali yetu.au ndo ule msemo kuwa 'nchi imeshauzwa?'
nawasilisha.
wanajf salaam!
hivi ni kweli kwamba hali ya serikali ni tete kiasi cha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi mpaka sasa?
'nchi imeshauzwa?'
nawasilisha.
Ambaye atanibishia kuhusu hili la serikali kukopa TCRA na kufilisika naye atakuwa amefilisika kimawazo
Mliimchagua wenyewe huyo JK last year, subirini mnae huyo hadi 2015. Mtavuna mlichopanda
elewa kwamba " lakuvunda halina ubani". Furahia mshahara wako ulioupata nov 03
Full bata mwanangu.Si mlimpa wenyewe?Acheni yeye apande mapipa akale huko majuu .Hivi next visit yake ni lini na atakuwa Nchi gani na watu wangapi ?
Acha kubabaisha wafanyakazi. Mwishowe utasababisha wazikimbie ofisi na kwenda kuchakura mitaani.
Sasa kawababaisha nini hapo wafanyakazi? Tatizo la kusoma post moja tu ya mtoa mada na kukurupuka kujibu, hebu pitia atleast post kadhaa za wengine utapata mwelekeo ukoje.Acha kubabaisha wafanyakazi. Mwishowe utasababisha wazikimbie ofisi na kwenda kuchakura mitaani.
hebu acha kutumia akili za kondoo kufikiria mkuu, kama ina pesa si ndo tuzione sasa na mishahara ikilipwa kwa wakat?
wanajf salaam!
hivi ni kweli kwamba hali ya serikali ni tete kiasi cha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi mpaka sasa?
nikiwa miongoni mwa wafanyakazi wa umma,nimepata salary slip yapata 4 days now ila hundi ya mshahara haijapelekwa bank,nimemuuliza mhusika w kwa hapa ofisini kwetu anasema serikali haijaleta pesa wao wametoa slip in advance tu.
mwezi uliopita kuna mjumbe wa jf alitoa mada hii mimi sikutilia maanani kwa kuwa mwezi ulopita sisi tulipata mishahara mapema ila sasa nadhani ndio zamu yetu....
duuu napata hofu na muelekeo wa serikali yetu.au ndo ule msemo kuwa 'nchi imeshauzwa?'
nawasilisha.
maisha bora kwa kila mtz yanawezekana
uko idara gani?
Fanyeni kazi acheni kupiga umbeya mwisho wa mwezi bado tayari mshaanza kulalama hela ya mwisho wa mwezi. Je mngelikuwa mnafanya kazi katika kampuni binafsi ambapo mshahara hutoka tarehe 30 si mngelia nyie vp!!!!
DazNaz nashukuru kwa uchambuzi yakinifu kwa kadri ya uelewa wako. Lakini bado nipo pale pale, kwa nini wacheleweshe mishahara wakati awali kwa watumishi wa serikali hasa majeshi hali hiyo ilikuwa nadra sana?
Kuhusu idara nyingine kama walimu na wafanyakazi wa halmashauri hao ni kama kawaida yao kucheleweshewa mishahara na wameshazoea yaani wamejitune hivyo.
Tuachane na hilo la mishahara tuje kwenye dalili za serikali iliyo na hali mbaya kiuchumi ni zipi sasa ili tuzifitishe kwenye serikali yetu tuone kama zinafiti au zinakaribia kufit.
1.0 Matumizi kuwa makubwa kuliko mapato yake ya ndani. Hii ina maana ni lazima serikali itafute misaada, mikopo ili kufinance matumizi yake ya kawaida ambayo ni recurrent expenditure. Ikitokea kutokukopesheka ndani na nje ya nchi basi serikali haina jinsi bali kubana matumizi ili iweze ku meet crucial exp. hasa mishahara ya watumishi wake.
2.0 Deni lake la kitaifa (ndani na nje) kuongezeka kwa kasi huku rate ya ulipaji ikiwa ndogo. Hii ina maana baada ya muda mfupi itashindwa kukopesheka na kufa kifo cha mende.
3.0 Baada ya njia nilizokutajia hapo juu kushindwa basi serikali huamua kuprint new money na kuingiza kwenye mzunguko kinyemela na hii direct huongeza mfumuko wa bei. Hili limeshafanyika na serikali ya JK lakini usinihoji nimepata wapi information hizo.
Mkuu ni mengi lakini nimalizie kama unaamini serikali haipo dhofu li hali kiuchumi, nijibu kwa nini imeshindwa kupeleka Warrant of Funds katika idara zake kwa karibu miezi miwili sasa, na hili nalo usiniulize nimepata wapi.
Ni hayo, lakini amini hali ni mbaya serikalini. Chukua hizo changanya na uelewa wako utaanza kupata majibu.
Jenga hoja mambo ya idara hayakusaidii, mf akikuambia nipo TISS, TPDF, TPF, TPS, Immagration, Wizara ya Afya, Elimu n.k itakusaidia nini? Hoja ya msingi ni kutopata mishahara kwa watumishi wengi wa sekta ya umma na hali mbaya ya kiuchumi serikalini. Umeelewa, mwaga data na siyo ubabaishaji ishaji tu majukwaani!!!!
Hata mimi sijasema kwa miezi miwili lakini dalili zimeanza kujionyesha hasa miezi hii miwili. Hivyo ina maana serikali ilianza zamani sana kuyumba kiuchumi lakini hatuwahi kunotes dalili mapema.mie nakubaliana na serikali kufiliska. siyo kwa miezi miwili kama unavyosema, bali tangu kuingiza sera za ubinafishaji na kukaribisha wezi nchi. kitendo cha wezi kupata faida mara 100 zaidi kuliko mtaji uliotumika, ni kigezo cha serikali kufilisika. tunaishi kwa kutegea kodi kidogo sana ambao zinapatika kwa kuwakamua watanzania wakati wageni wakisamehewa.
Mtanzania anayekamuliwa kodi, ndo huyo mpaka apate mshahara kutoka kwa serikali. serikali haina mishahara, kila kitu kinasimama. biashara haziendi vizuri na hivyo kuleta mgogoro katika mzunguko wa pesa. Hiii ni ishara tosha ya kuishiwa, kufilisika