Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 50
Hivi Jamani na vipi kuhusu hali ya mkono wa katibu wetu mkuu?? naona bado umejikunja, mwenye habari atujuze hali ya kamanda wetu
anaumwa nini?
ahuyu mbona mgonjwa siku nyingi
Jana tulikuwa nae kwenye sherehe ya send off diamond jubilee na alionekana bomba tu.
Ana ngoma, mke wake wa kwanza alikufa na umeme.anaumwa nini?
ana ukimwi, tacaids nzima wanajua hali yake asidanganye wananchi
Kudanganya danganyaanaumwa nini?
Mwambie aache kuongopa bungeni na kwa wananchi.. anajua alitendalo ajue Ataadhibiwa hapa hapa Duniani. yupo kwa ajili ya wananchi sio wajinga waliompa ripoti ya mauaji Arusha shame zaonashukuru wajumbe kwa habari zenu ...kwani sikuwa na taharifa zake toka alipoenda German kwa matibabu
pia namtakia afya njema kipindi cha utawala wake kwani ni kigumu na kina harakati nyingi sana
Una uhakika mkewe wa kwanza alikufa kwa ngoma? Tusilete stori za vijiweni.....Ana ngoma, mke wake wa kwanza alikufa na umeme.
Aligonga kiroba?
duh nae anaumwa?
viongozi wengi wagonjwa aisee,ndo maana sichoki kusoma!
pole zake