I am also the victim kuandika chochote kwenye hii thread, let's continue with out movement to rescue our country. Hakuna benefits zozote zile kuendelea kuandika na kujibishana na familia ya malecela. They are done na sisi wananchi tunakazi kubwa kudiscuss issues zinazolenga kutafuta solutions za nchi.