HALI YA MZEE MALECELA: Ninawashukuru Sana JF

Status
Not open for further replies.
- Well, again ahsante sana kwa wote, leo nilikuwa ninamsomea hii thread amekufa sana na mbaavu maana kwa heshima ya kila mchangiaji nimemsoema mchango wa kila mchangiaji, michango ya Ecoli imemvunja sana mbaavu, infact amesema akiwa fit kabisa ataanza kuingia hapa mwenyewe! ha! ha! ha!

Willie @ NYC, USA.

Mzee wetu anapenda sana ukweli ukisemwa, mwambie iam delighted na nina simamia ile kanuni ya mwana TANU '' Nitasema kweli Daima, Fitina kwangu mwiko''
 
Pole mkuu..Mungu ni mwema sana...
Hizi pole zina maana kuna msiba?Semeni tu get well soon kama hakuna lugha nyingine.Ama kwasababu mwanzisha thread(William) amewashukuru,then sema tu unakaribishwa.Intuition kidogo tu inasadia.
 
Pole sana Willy kwa ugonjwa wa mzee na kwa kumuuguza......

Salamu kwa mzee na mama.............Mimi na familia yangu tunamuombea apone haraka....
 
I couldn't agree with you better!!!
Ninakumbuka Mwalimu kabla ya kufariki aliacha ametuambia kuwa Malecela J.Samuel ni MUHUNI na hafai kuongoza nchi na alimfananisha na yai viza, sasa mimi kama mtanzania ningependa kujua Malecela huo uhuni ameacha lini???? Humu ndani nasoma tu ushabiki wa watu ambao wanajiita ma great thinkers lakini hawaoni "anomalia" ya mafisadi kwenda kutibiwa katika nchi zilizoendelea wakati ndugu zetu wakifia katika hospitali ambazo hazina facilities - mnashangilia nini??? Malecela pamoja na wahuni wenzake ndio walioifikisha nchi hapo ilipo sasa- badala ya kuwakasirikia mnawatumia na salamu za get well soon - you guys are not concious at all na ninafikiri most of you suffer from the so called Stockholm syndrome - nina uhakika!!!

Yanatoka wapi hya yote wakuu?...........

Kama vipi anzisheni thread ya hizo allegations zenu.............Hapa tumpe pole na kumtakia kupona haraka mzee wetu JSM
 
Yanatoka wapi hya yote wakuu?...........

Kama vipi anzisheni thread ya hizo allegations zenu.............Hapa tumpe pole na kumtakia kupona haraka mzee wetu JSM

Balantanda, nimeuliza swali - Malecela ameacha lini UHUNI??? Malecela mnavyomsifia humu ndani, kwa ambaye hajui historia ya Tanzania(kama wewe) anaweza akafikiri tunamuongelea kiongozi makini - not at all!!!
Ninarudia, hii tabia chafu ya mafisadi kwenda kutibiwa nje wakati mama zetu na dada zetu wanajifungulia nyumbani,wanasafirishwa kwa bajaj IKOME!!! inawezekana wewe ni miongoni mwa hao wanaofaidika na ufisadi(kufa kufaana!!) so unafikiri una haki ya kuwazungumzia hata wanaokufa - again malecela(small letter intended!) ni muhuni na ni fisadi and doen't deserve any consideration from Tanzanians of good will!
Nyinyi waimbieni mapambio mabwana zenu lakini msitarajie kuwa nasi tutafanya hivyo - never!!!
 
You got it wrong pal............

Hakuna aliyezuia mtu kumjadili JSM hapa............Nilichoshauri ni kuanzisha thread nyingine ambayo mtamjadili Malecela na mapungufu yake kwa mapana yake.......Thread hii ibaki kwa ajili ya kumpa pole babu Cigwiyemisi na Will kuwashukuru wajumbe basi...............Hapa itakuwa kuchanganyana tu...........
 
dude, every occasion is a good occasion to deliver our sentiments to these rotten empty heads and tell them how much we hate their existance!!!
They have ruined our country, and there is no reason on earth i can have mercy on them simply because I love Tanzania so much and anyone who plays with Tanzanians lives and future doen not deserve my respect let alone get-well-soon wishes!!!!
 
Jamani tuwe waungwana, kuna mtu alianzisha thread akatoa taarifa kuhusu ungonjwa wa Malecela, watu kibao tukamtakia pole. Willie kaja kutoa shukrani kwa salamu tulizozitoa! Sasa inakuwaje tena mnanza kumshambulia?
Tuwe wastaarabu jamani, ugonjwa siyo kitu cha kuchezea
 
Balantanda, nimeuliza swali - Malecela ameacha lini UHUNI??? Malecela mnavyomsifia humu ndani, kwa ambaye hajui historia ya Tanzania(kama wewe) anaweza akafikiri tunamuongelea kiongozi makini - not at all!!!
Ninarudia, hii tabia chafu ya mafisadi kwenda kutibiwa nje wakati mama zetu na dada zetu wanajifungulia nyumbani,wanasafirishwa kwa bajaj IKOME!!! inawezekana wewe ni miongoni mwa hao wanaofaidika na ufisadi(kufa kufaana!!) so unafikiri una haki ya kuwazungumzia hata wanaokufa - again malecela(small letter intended!) ni muhuni na ni fisadi and doen't deserve any consideration from Tanzanians of good will!
Nyinyi waimbieni mapambio mabwana zenu lakini msitarajie kuwa nasi tutafanya hivyo - never!!!

- Mkuu zinaitwa kelele za mlango, Mwalimu wako alimchagua vipi kiongozi muhuni na yeye si muhuni? alimchagua vipi kuongoza wananchi wasio wahuni? Mwalimu alikuwa hauliziwi maswali serious kwa sababu ya kumuogopa, lakini kiongozi muhuni huchaguliwa na kiongozi muhuni mwenziwe kuongoza wananchi wahuni, na taifa la wahuni sana! ha! ha!

- Hukulazimishwa na anybody hapa zaidi tu ya uhuni wako, maana ni mihuni huni tu ndiyo inaweza kujifanyia uhuni kama wako mahali hata pasipohusu, karibu sana mkuu wangu tumkome nyani! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.
 
Jamani tuwe waungwana, kuna mtu alianzisha thread akatoa taarifa kuhusu ungonjwa wa Malecela, watu kibao tukamtakia pole. Willie kaja kutoa shukrani kwa salamu tulizozitoa! Sasa inakuwaje tena mnanza kumshambulia?
Tuwe wastaarabu jamani, ugonjwa siyo kitu cha kuchezea

- Ha! ha! wewe usiwe na wasi wasi mkuu namjua huyu mtu wa Mwalimu sana, ukimgusa Mwalimu wake tu hutoka mapovu sana sasa niachie huyu, mkuu wa Mwalimu karibu sana now bring it on ha! ha!

Willie @ NYC, USA.
 
Kama unatumia akili...
1)Malecela ni public figure where as
2)JF is a public forum.
And so therefore,use intuition.Nenda ukadese kuhusu namba 1 and 2.Shirikisha ubongo wako utagundua a lot of stuff isnt only the way you know it.There is a lot of different ways.Dont be narrow minded.Mimi kusema tu flani ni public figure ulitakiwa unyamaze.Ficha upumbavu wako.
Msalimu sana Felister..............Mwambie nammiss
 
I couldn't agree with you better!!! Ninakumbuka Mwalimu kabla ya kufariki aliacha ametuambia kuwa Malecela J.Samuel ni MUHUNI na hafai kuongoza nchi na alimfananisha na yai viza, sasa mimi kama mtanzania ningependa kujua Malecela huo uhuni ameacha lini???? Humu ndani nasoma tu ushabiki wa watu ambao wanajiita ma great thinkers lakini hawaoni "anomalia" ya mafisadi kwenda kutibiwa katika nchi zilizoendelea wakati ndugu zetu wakifia katika hospitali ambazo hazina facilities - mnashangilia nini??? Malecela pamoja na wahuni wenzake ndio walioifikisha nchi hapo ilipo sasa- badala ya kuwakasirikia mnawatumia na salamu za get well soon - you guys are not concious at all na ninafikiri most of you suffer from the so called Stockholm syndrome - nina uhakika!!!
hahahaaaaaaaaa...........daaaaaaa,
 
- Mkuu zinaitwa kelele za mlango, Mwalimu wako alimchagua vipi kiongozi muhuni na yeye si muhuni? alimchagua vipi kuongoza wananchi wasio wahuni? Mwalimu alikuwa hauliziwi maswali serious kwa sababu ya kumuogopa, lakini kiongozi muhuni huchaguliwa na kiongozi muhuni mwenziwe kuongoza wananchi wahuni, na taifa la wahuni sana! ha! ha!

- Hukulazimishwa na anybody hapa zaidi tu ya uhuni wako, maana ni mihuni huni tu ndiyo inaweza kujifanyia uhuni kama wako mahali hata pasipohusu, karibu sana mkuu wangu tumkome nyani! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.

Hata Hosni Mubarak alikuwa anaziita kelele za mlango, bila kusahau akin Ben Alì!!
Swali langu ni rahisi tu, JE NYERERE ALIMUITA FISADI malecela MUHUNI AU HAPANA???
JE ALIMFANANISHA NA YAI VIZA AU HAPANA???? na kama jibu ni ndiyo, SWALI LANGU NI HILI malecela AMEACHA UHUNI LINI???
??
You guys should know that i'm not amog those suffering from the so called stockholm syndrome thence there is no way you can buy my sympathy!!!
Nyerere alimpa "madaraka" ya kuongoza huyo malecela kwasababu alikuwa anaweza kum-monitor. Je unaweza kuwaeleza watu hapa jamvini baba yako amefukuzwa kazi mara ngapi na nyerere???
Je ni kwa nini Nyerere alimfukuza malecela ktk nyumba aliyokuwa akiishi pale oysterbay karibu na kwa mzee Matovu???
Be serious, sasa ninaamini kuwa tunda huwa halianguki mbali na mti - hata wewe ni muhuni kama baba yako!!!
 
Mimi nina maswali ambayo bado yananisumbua kichwa!!!
- Je wapiga kura wa Mtera ambao malecela alikuwa mbunge wao nafikiri kwa miaka 15, wakiugua huwa wanatibia wapi??
wapiga kura wa mtera wanashambuliwa sana na Chlamydia trachomatis ambayo inawaletea upofu na tiba yake ni antibiotics tu pamoja na proper hygenic measures - je ninyi mnafikiri wanafurahi wakisikia kuwa huyo muhuni akiugua anakimbilia kutibiwa ng'ambo badala ya kuimarisha huduma za afya nyumbani????

Ni nani analipa gharama za matibabu na mapumziko ya huyo fisadi??? bado ni walipa kodi wa Tanzania????? Ni wataznaia wangapi wana uwezo wa kumiliki nyumba US na kwingineko??? So malecela, as i told your friend bala, be decent enough to shut up your stinking mouth!!! I can't be more clear.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom