Hali ya kiafya ya Mwakyembe na Mwandosya huko India ikoje?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Jamani wenye taarifa za karibuni za Makamanda Mwekyembe na Mwandosya huko India watujuze.Makamanda hawa wenye majina yaliyofanana na asili moja "Mwa" wana nafasi kubwa katika maendeleo ya nchi yetu.Nawasilisha.
 
si nasikia umeoa kwao, kwa nini familia zao hazikushirikishi kujua maendeleo yao?
 
si nasikia umeoa kwao, kwa nini familia zao hazikushirikishi kujua maendeleo yao?

Acha utani kama huna jibu waachie wengine.Mimi nataka kujua kweli maana nakubaliana na misimamo yao kisiasa.
 
Back
Top Bottom