hali ya hewa kama hii ma hotel hupata wateja wengi sana

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
siku za baridi wa wanakula sana bata kama hotel yangu leo ipo full booked naomba hali mpaka kesho ibaki hivi hivi
 
siku za baridi wa wanakula sana bata kama hotel yangu leo ipo full booked naomba hali mpaka kesho ibaki hivi hivi

Kweli nimeamini ule msemo usemao kifo cha ..... furaha ya kunguru na kuvuja kwa ........ nafuu ya mchukuzi
 
Back
Top Bottom