Hali ya Hatari Tandika!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Vurugu kubwa Tandika Waislamu wanachoma makanisa!!!Polisi chukueni hatua!!Nchi inagawanyika...!!!
 
kwani hao wakina msangi, ighondu na zoka, wanangoja nini kuwang'oa hao watu kucha na meno bila ganzi????? kamuhanda naye kwa nini hawafumui matumbo???? arrrrggghhhh! I HATE CCM, I HATE MY PRESIDENT!
 
plss tujuzeni vizuri.. wapi na ni makanisa mngapi yamechomwa mpaka sasa??
 
Mbona taarifa hazitoi mwelekeo, Tandika sehemu gani na makanisa mangapi yamechomwa? mwenye habari tujulisheni!!!!
 
Back
Top Bottom