Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya hatari kati ya Israel na Iran yaongezeka!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Nov 7, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,244
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  srael’s warnings of a possible attack on Iran has increased tension between the two countries, ahead of a UN atomic agency report on Tehran's nuclear programme,*due out this week.

  Some experts say Israel will launch a strike if it is convinced that the West is not going to take stronger steps against nuclear Iran.

  Tehran*continues to insist its nuclear programme is only for peaceful purposes.

  Al Jazeera’s Nicole Johnston reports from Jerusalem.
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  one day yes!
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,393
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa dunia.
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  After eliminating Saddam and Gaddafi, US and its age-long confidant Israel are now looking forward to depose the Iranian regime. Deliberations are underway to persuade the UN to pass a fabricated resolution to launch military attacks on Iran under a pretext of nuclear nourishment. We should wait and see because some analysists say this will in effect be an epicentre of the next World War.
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 5,991
  Likes Received: 2,476
  Trophy Points: 280
  waweza kuwa mwanzo wa dunia mpya na yenye kuheshimiana!
  Baada ya hapo yawezekana Boko Haramu, Alkaida, Al-shaabab, NATO nk wote wasiwepo tena.
  Ila idadi ya wakazi wa dunia inaweza kuwa imedecline kutoka 7b za sasa mpaka 5b ....kumbuka mwisho wa vita kuu ya dunia!
   
 6. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Israel (utawala haramu) haina ubavu. Makelele kila siku tutashambulia tushambulia. Kashindwa Bwanake Marekani.
   
 7. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 12,812
  Likes Received: 977
  Trophy Points: 280
  saddam, gadafi, osama... waliongea hivyo hivyo! Haya sijui! ukipiga konzi mkuki itakuwaje!
   
 8. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,146
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Iran Wasijaribu kuichokoza israel maana Kichapo watakachopata hakina mfano
   
 9. I

  Imman Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichapo kikianza 2 rais wa iran ajiue mapema maana watam......t kama ga....f
   
 10. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,244
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Nahisi kuna mkono wa USA
   
 11. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,744
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  safi..wacha wamuondoe na yeye..kuna mtu alikuwa anatarajia libya au iraq siku moja historia zitabadilika.
   
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,477
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wakipigana nyie watanzania mnafaidika na nini?Inaonekana kabisa tumekwishaanza kuona jambo la watu kufa hovyo hovyo ni la kawaida kiasi kwamba hatuoni taabu kujadili na hata kutaka kuona vita vikitokea huku tukiwa tunajua ni nani ataibuka na ushindi.
  Tunajisikia vipi kuona Walibya walivyouana wenyewe kwa wenyewe bila huruma kwa kigezo cha kumtoa mtu mmoja tu?
   
 13. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  No way, who told you. Mpaka umwone mwana wa Adam akishuka kutoka mawinguni.

  "Wataukausha mto Ufrati ili kumtengenezea njia mfalme ajaye kutawala".

  Mataifa ya Kiarabu yenye nguvu yanaangushwa, Misri, Iraq, Libya vyote vimeondoka. Sasa bado Iran pekee na ndiyo lengo pekee la mataifa ya Magharibi.

  Kwa ujumla mataifa ya Magharibi ndio mhimili wa uovu katika dunia hii na ndio watakaomsimamisha Mnyama mwenye number 666 kuitawala dunia.

  "Mkiliona chukizo la uharibifu likisimama patakatifu mjue hapo mwisho ndio umefika".
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,790
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  freemason at work
   
 15. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  ukisikia paaa ujue mwanawaadam yu mlangoni mwako wala si mchezo wa kuigiza hakika nawambieni hiki kizazi hakitapita.
   
 16. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,146
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nakisubiria kichapo cha iran kwa hamu maana nao wanamake noisy sana.
   
 17. g

  goodlucksanga Senior Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watachapika xna
   
Loading...