TIMING JF-Expert Member Apr 12, 2008 24,867 11,246 Feb 8, 2011 #41 kumbe aliyezimwa ni slaa?? sikujua maana nilijua walionyimwa haki ni wananchi wa arusha
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Feb 8, 2011 #42 Kumbe Dr. Slaa anawatisha namna hiyo!!
Kashaijabutege JF-Expert Member Oct 20, 2010 2,696 740 Feb 8, 2011 #43 JEYKEYWAUKWELI said: Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu. Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani Katiba mpya mnyika kanyukwa Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka?? Click to expand... Akili zako ni "SHAKE WELL BEFORE USE". Ulirukaruka kuchanganya akili kabla ya kuandika hii thread?
JEYKEYWAUKWELI said: Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu. Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani Katiba mpya mnyika kanyukwa Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka?? Click to expand... Akili zako ni "SHAKE WELL BEFORE USE". Ulirukaruka kuchanganya akili kabla ya kuandika hii thread?
Babkey JF-Expert Member Dec 10, 2010 4,834 3,655 Feb 9, 2011 #46 Du! Kama Slaa ana nguvu kiasi cha kutisha hivyo, itakuwaje wananchi kwa ujumla wakiamka. 'its possible, play your part'
Du! Kama Slaa ana nguvu kiasi cha kutisha hivyo, itakuwaje wananchi kwa ujumla wakiamka. 'its possible, play your part'