Elections 2010 Hali ya CCM Mbulu mahututi

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
CCM inapata wakati mgumu sana katika jimbo la Mbulu,

Wananchi kutoka vijiji mbalimbali hawataki kumwona Mgombea wa CCM Marmo, anazomewa sana sehemu mbalimbali mfano maeneo ya Haydom siku anazindua kampeni, Masyeda wiki hii, Pia alipigiwa miluzi katika eneo la Maghangw, watu katika eneo hilo watu wanadai ahadi ya umeme, siku ya pili yake kawapelekea nguzo za umeme.

Kwa kweli hali kwa upande wa CHADEMA ni nzuri sana, wairaqw wamekasirishwa sana na kitendo cha CCM kutoa ahadi mara kwa mara bila kutekeleza. Pia kitendo cha Marmo kumrubuni Bwana Lori aliyegombea wakati wa kura za maoni, wengi walimtaraji Lori kushinda katika kura za maoni cha ajabu Marmo kawa mshindi kitendo hicho kiliwaudhi watu wengi kiasi cha kukigeukia CHADEMA;

Wana CCM wengi ni kama yatima kwani ni aibu kuvaa Tshirt, kofia ya CCM, wavaao wanakejeliwa sana, hakuna anayetetea CCM. Washabiki wa chache wa CCM hawathubutu kusifia CCM hadharani kwani kejeli nyingi sana.

Wazee wa mila wanamwombea Dr Slaa kwa ibada ya kimila,

Watu wanahamasishana ndani ya mabasi kila wakati. Marmo anahangaika kujenga barabara sehemu mbalimbali.

JK sitegemei kama atapata zaidi ya asilimia moja katika jimbo la Mbulu maana hata washabiki wachache wa CCM wameapa kura ya urais ni kwa Dr Slaa ila ya ubunge watampa Marmo, miongoni wa hao wachache ni walimu wakuu wachache.
 
Hivi REDET mpo kwenye kauli hii au mmeuchapa usingizi mnono?

JK sitegemei kama atapata zaidi ya asilimia moja katika jimbo la Mbulu maana hata washabiki wachache wa CCM wameapa kura ya urais ni kwa Dr Slaa ila ya ubunge watampa Marmo, miongoni wa hao wachache ni walimu wakuu wachache.
 
Huko mbulu safi sana natamani maeneo mengine waweze kufanya haya mambo ili tukomeshe kabisa hii kirusi inaitwa ccm. Tunataka tujitibu na hili gonjwa ccm. Linatumaliza jamani
 
CCM inapata wakati mgumu sana katika jimbo la Mbulu,

Wananchi kutoka vijiji mbalimbali hawataki kumwona Mgombea wa CCM Marmo, anazomewa sana sehemu mbalimbali mfano maeneo ya Haydom siku anazindua kampeni, Masyeda wiki hii, Pia alipigiwa miluzi katika eneo la Maghangw, watu katika eneo hilo watu wanadai ahadi ya umeme, siku ya pili yake kawapelekea nguzo za umeme.

Kwa kweli hali kwa upande wa CHADEMA ni nzuri sana, wairaqw wamekasirishwa sana na kitendo cha CCM kutoa ahadi mara kwa mara bila kutekeleza. Pia kitendo cha Marmo kumrubuni Bwana Lori aliyegombea wakati wa kura za maoni, wengi walimtaraji Lori kushinda katika kura za maoni cha ajabu Marmo kawa mshindi kitendo hicho kiliwaudhi watu wengi kiasi cha kukigeukia CHADEMA;

Wana CCM wengi ni kama yatima kwani ni aibu kuvaa Tshirt, kofia ya CCM, wavaao wanakejeliwa sana, hakuna anayetetea CCM. Washabiki wa chache wa CCM hawathubutu kusifia CCM hadharani kwani kejeli nyingi sana.

Wazee wa mila wanamwombea Dr Slaa kwa ibada ya kimila,

Watu wanahamasishana ndani ya mabasi kila wakati. Marmo anahangaika kujenga barabara sehemu mbalimbali.

JK sitegemei kama atapata zaidi ya asilimia moja katika jimbo la Mbulu maana hata washabiki wachache wa CCM wameapa kura ya urais ni kwa Dr Slaa ila ya ubunge watampa Marmo, miongoni wa hao wachache ni walimu wakuu wachache.

Wanamburu wasibweteke, wazilinde kura siku ya uchaguzi, CCM haishidwi tu kwa kutoipigia.
 
God yupi sasa? Mtakatifu, Baba ama mtoto wake. Maana na nyie mna miungu wengi! :tonguez:
Tafadhali temea chini.
ukitaka kujadili udini kuna jukwaa lake. tuache sisi wanasiasa tujadili siasa bila kuchanganya udini ndani
ptuuu!!!
 
CD4 za ssm zimeshuka sana kiasi kwamba ARV aina ya REDET zimeanza kutumika kwa huyu mgonjwa, lakini virusi aina ya Slaa bado vinaushughulikia mwili wa huyu mgonjwa mpaka octoba 31 ambapo huyu mgonjwa anayejiita .....atakuwa mfu. Ndugu jamaa na marafiki wajiandae na maombolezo baada ya oktoba 31.
 
Hadithi ya Mbulu anaijua Marhum Nyerere alivyopigishwa kwata na Sarwat enzi hizooooo ! Hawa ni wapinzani wa asili !!!
 
Wanamburu wasibweteke, wazilinde kura siku ya uchaguzi, CCM haishidwi tu kwa kutoipigia.[/QUOTE]haya maneno ni kwa tanzania nzima sio kwa wana mbulu pekee.

Kweli kabisa, Mbulu wanahamasishana wao kwa wao, mikakati sasa ni kuwabaini watumishi wauma wanaojihusisha na siasa kama wakuu wa shule, n.k

Wameapizana kulinda kura zao kwa nguvu zote, watapiga yowe wakiona dalili zilizo kinyume na utaratibu wa upigaji wa kura.
 
hapa moshi sehemu za kikavu chini hali ya chadema siyo nzuri, ccm wameaga mlimani wamehamia huku tafadhali mbowe njoo fanya kazi ya ziada huku
 
Wairaqw wanajulikana, wakiamua lao moja, hawapigagi kelele sana, wanatekeleza, they do what the believe is right,
without anybody to force them, au kuwaonga, wakali, usiwaone wanasura za kuvutia, Mwl Nyerere anawafahamu, mfano ni Dr Slaa
na wengine wengi, wakiamu yao ni moja YES is YES basi wamemaliza, nawaomba all Tzs tuwe kama haw wairaqw, au watu wa Mara, ila 2010
all TZs wamekasirika mno, take a look, Iringa, Mbeya, Rukwa, Songea, Mwanza, Arusha, Shinyanga, Singida, Dodoma, Dar, Kilimanjaro, kote ni BALAAAAAAAAA, CHADEMA must win, wamefunuka mno, CCM wanjua hilo mno, wanahofu ile mbaya, PRESSURE imepanda na INAZIDI KUPANDA haishuki, ile 31 OCt, utasikia, pressure imepasua CCM iiiiiiiiiiiiiiiiiiii..... puuupuuuuuuuuuuufffffffff....!!!!!:llama::flame: :target::mad2::A S-confused1::A S-confused1::help::help: hakuna help hapa, :hurt: :couch2: RIP hadi mauti, mbona 31 oct haifiki..? CHADEMA hiyooooooo :israel: mkombozi na kuwakomboa watumwa kwa miaka 50 ndani ya nchi yao.
 
Back
Top Bottom