Hali ya baadae ya Tanzania itakuwaje? Kama tumeanza kwa kasi hii? Libya na Misri walianza hivi hivi

Satan's foe

New Member
Oct 18, 2012
3
0
Tanzania haijawahi kushuhudia machafuko kama ambayo yamejitokeza wiki iliyo malizika kwa kipindi kirefu sasa. Inaweza isiingie akilini imekuwaje ile kuanza tu yameanza kwa kasi ya ajabu. Is it not possible that there is an extra force behind the curtain?. Anyway, sitaki kuzungumzia habari za viongoz wakuu kukaa kimya hadi sasa bila kauli yoyote. La kujiuliza ni hili kwa nini chanzo cha vurugu kiwe kingine lakini watu waonekane wakienda Ikulu kwa mkuu wa kaya? Hapa hakuna sababu za kutokuamini kuwa kuna nguvu ya ziada nyuma yao. Pia what a coincidence kwamba Uamsho watoe tishio ndipo kiongozi ajitokeze? Kisha atiwe nguvuni. Swali ni nini hali ya baadae ya Nchi hii ambayo haikuzoea machafuko? Na wanaofanya hivyo wanafanya kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom