Hali ya Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema mashakani baada ya kugoma kula tangu akamatwe

Mwezi mzima hakuna kilichofanyika zaidi UKUTA
Hivi wakati mwingine kwa nini mnashindwa kuwa fair argumentative? Ni kazi gani ya serikali haikufanyika kwa mwezi mzima hadi sasa kwa kuzuiwa na Ukuta wenu? Hebu angalia; wizara zote zinafanyakazi kama kawaida, huduma zote serikali za mitaa, idara, taasisi na wakala wa serikali zinaendelea bila kikwazo chochote, safari na movements za raia zote zinaendelea kama kawaida, wanafunzi wanaendelea na masomo mashuleni na vyuoni, wagonjwa wa zamani na wapya wanaendelea kupata matibabu katika vituo vya afya na mahospitalini, mabenki yanaendelea kutoa huduma kama kawaida, masoko ya bidhaa za mashambani (vyakula na mali ghafi), viwandani na mitaji yanaendelea na shughuli zake, polisi wanaendelea kulinda usalama na amani kwa raia na mali zao (magaidi 7 walikamatwa Vikindu, Pwani jana), makandarasi wanaendelea kujenga miundombinu kadhaa, na kadhalika, sasa ni shughuli gani ya huduma au maendeleo ua umma imeshidikana kufanyika kutokana na Ukuta wenu. Ukuta is fictious construction and will never exist. Tafadhali acheni kupotosha umma.
 
Waliomkamata walipewa maelekezo kuwa asiachiwe mpaka baada ya September 1, sasa kama alikamatwa jana, na amegoma kula, mpaka kufikia tarehe 1 ni siku 6!, standard days za binadamu mwanamume kukaa bila kula kwa sababu nyingine yoyote inje ya meditation ni siku 5 tuu!, hivyo nashauri viongozi wa juu wa Chadema na viongozi wa dini, wamtembelee Mhe. Lema, wamshauri kusitisha mgomo wake wa kula is asije kuathiri maandamano na mikutano ya nchi nzima, kwa sababu akiendelea kugoma kula, itabidi maandamano yaa hirishwe!.

Agizo kama hilo pia limetolewa kwa viongozi wengine ili wasiwepo watu wa kuongoza maandamano!.
Pasco
Kwahiyo wanaendeshwa na magizo nasiyo katiba ya nchi?
 
Mungu hadhihakiwi, hawezi kumtia nguvu Lema na uongouongo wake wa kutetea mafisadi kabla hajakamilisha adhma yake ya kumzomea Fisadi Lowasa ili apate heshima kubwa kwa Mungu, kama alivyotufundisha hapo awali.
Fisadi aliyowashinda ccm kumkamata
 
Mpaka sep.1 huenda viongozi wa chadema watakuwa lupango wote ninawaza tu
Hiyo yote ni mbinu baada ya Serikali kuwa na hofu saana juu ya UKUTA, ndiyo maana wanataka kutumia hata JWTZ kufanikisha adhima yao ya Kuzuia. Aisee Kweli hii Serikali hawezi kujiamini hata kidogo.
 
Habari zilizotufikia Dawati letu la habari kutokea jijini Arusha.

Zinasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J. Lema Hali yake ya Afya siyo nzuri baada ya kugoma kula chakula tokea akamatwe jana alfajiri. Hayo yanatokea yeye anapopinga kukamatwa kwani anasema amedhalilishwa na si haki kukamatwa na kwanini polisi hawataki kumpa dhamani ilihali ni haki yake.

Tunaendelea kufwatilia tutawajuza kinachoendelea

View attachment 388733


Wakati Lema anakufa njaa na kunyea debe Gerezani, fisadi Lowasa yuko huku anakula bata na kujikomba kwa Raisi wa JMTZ!

1472310675592-jpg.388755
 
dhamana ni haki yake na haihitaji mjadala kulingana na matakwa ya katiba.
 
Back
Top Bottom