Kingcobra
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,000
- 309
La sensa linaingia kichwani.wNashauri, wangeungana na wafanyakazi wengine(sio wa barick tuu) kuandaa mabango yenye ujumbe mzito na kuandamana mpaka kieleweke.
Njia nyingine ni kususia shughuli za serikali kama Sensa ili ku'express kilio chao.
Nasema tena kuwagomea wawekezaji wakati yenye matatizo ni Serikali yao, sio njia nzuri(kwa maoni yangu)