Hali tete... DUCE njaa kali

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
64053_280370578697752_100001744358337_693641_529742780_n.jpg


huko kwenu sijui hali ikoje?
 
Serikali imeshafilisika, imebaki swala la muda tu, kila kitu kisimame...
 
Kwa kifupi ni Bora huyu J.K aweze kukabidhi Nchi kwani hali imekuwa mbaya sana, Huwa kwa mtu yeyote mwenye nia njema na Taifa lake lazima asikitike sana kwa kumwona mkuu wa Nchi anakula raha nje ya nje kwa takribani week nzima huku wananchi wakiwa wanataabika kwa matatizo ndani ya Taifa lake.

Kwa kweli mimi kama mzalendo wa Nchi hii nasikitika sana kuwaona viongozi wetu wa Kitaifa wanachanja mbuga huku na huko huku wananchi wakiwa wanahangaika sana!!!!!!
 
Mkwawa nako mambo ni hayohayo hawa jamaa cjui wanataka waifikishe wapi nchi hii.
 
aibu kubwa......walikopa hela ya mishahara standard chatared,wakakopa nssf wakaja kukopa backlays....na huko madeni hawaja clear....alafu dr jakaya anakula tripu majuu

mwezi jana walikopa kwa SS Bhakresa, nadhani mwezi huu kawagomea, sasa itakuwa zamu ya manji, then mengi, sijajua kama sabadooo yupo ready
 
Hivi hundi kuchelewa wizara ya fedha ndiyo kukosekana kwa fedha serikalini?

maana yake ni kwamba paymaster general hana hela ya kulipa.anaza implication is kwenye consolidated account iliyoko bot hamna kitu.na hii account ndo inatumika kuhamisha hela kwenda kwenye account za matumizi
 
Hawa jamaa wametuibia sana kiasi kwamba wizi wamekuwa wengi kuliko waibiwa, tusubiri tuone ila sisi wa serikarini tutakoma ubishi yaani itatuchukua miaka kama mitano mingine ili uchumi ustable
 
Hili lita saound kama hadi wafanyakazi? Nchi imeuzwa hii .....................
 
Back
Top Bottom