Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

Jamani mmesahau Christian Democratic Movement wanapenda migomo balaa
kweli tunawajua kwa vile mlivyo ma 'al quaida',wasio na ustahimilivu, wapenda fujo na vita, waabuduo................ila kwa hili. hebu acheni sheria ifuatwe. aadhibiwe vya kutosha.......kwa vike alivyo kinara wa matukio hasi hapa nchini, nachelea kuwa huyu ndiye osama wa tz. dini gani hii inahamasisha ghasia? si bora mkawa chama cha upinzani tuelewe kimoja?
 
...........heshima lazima iwepo, wewe si umejibagua kutoka kwetu, basi subiri mziki mnene uko mlangoni ! hatuwezi kuwa second class citizen !
Hizi lugha za namna hii zisiletwe hapa jamvini kwa watu wenye hekima, we want solutions here and not to increase disturbances to our people! mod mko wapi piga ban hizo.
 
Wakimuachia kwa shinikizo la maandamano, basi tutakuwa tumefikia mwisho wa utawala wa sheria na tutakuwa tumebakiza utawala wa kiislamu. Mungu epushia mbali balaa hili.

Copy: rizt
Patachimbika nchi hii haiwezi kutawaliwa na wauni!
 

Litakase Yesu Kristo Bwana ni mchungaji wangu mimi si unataka. 2 katika Erbdhana kijani malisho. Kuwafariji Jordna maji. 3 Yeye kutayarisha nafsi yangu. Yeye inaongoza yangu katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. 4 pia kama mimi kutembea kwa njia ya bonde la kivuli cha mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe ni pamoja nami. Gongo lako na fimbo yako, vyanifariji. 5 ilisababisha maveterani meza kuelekea Amadaiqi. Mimi wiped kichwa mafuta. Ria vikombe. 6 Hakika wema na rehema siku Atavanni zote za maisha yangu na mimi ninakaa katika nyumba ya Bwana kwa siku.
Zaburi
.


مزا 23
 
Hapa nammiss sana r.i.p maralia sugu
 
Last edited by a moderator:
kwanini wasipige mabomu ya machozi kama ni mkusanyiko usio na kibali??
 
Hao waloenda huko wametumia sheria gani??? Sijawahi sikia mtikila amekamatwa wakristu wakaenda kuandamana aachiwe!! Waache sheria za nchi zichukue mkondo wake maana hamna aliye juu ya sheria.....
Ndio maana waislam tunadharaulika kwaajili ya kufanya mambo kienyeji

yani kwakweli tatizo letu waislamu ni KUKOSA ELIMU na pia KUKOSA KAZI za kufanya mana mi kila siku nashindwa kuelewa,tunatumia vibaya maandiko na ndio maana waislamu wote tunaonekana wapuuzi
 
Mod mko wapi mtu anapoweka jamvini lugha sio ya kawaida lazima aweke tafsiri asije akawa anatumia jamvi kuchochea maandamano.

Lugha isiyo ya kawaida ni lugha gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
East Africa Television (EATV) BREAKING NEWS: Waumini wa dini ya Kiislamu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Sheikh Issa Ponda wapo makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam wakitaka aachiwe baaada ya kukamatwa, Huko Zanzibar pia, wafuasi wa kikundi cha uamsho wafanya vurugu kwa madai ya kutekwa kwa kiongozi wao.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

thats guuud
 
...........heshima lazima iwepo, wewe si umejibagua kutoka kwetu, basi subiri mziki mnene uko mlangoni ! hatuwezi kuwa second class citizen !

R.I.P maralia sugu bila wewe Ally Kombo asingejua hata kutumia computer imemfunua ilimu duni
 
Last edited by a moderator:
Mh mbona hawa waislam wanamfanyia mbaya rais wetu mtukufu, wanataka ishindwe kutawala.

wananongwa kweli hawa watu!
 
MOD kuna haja ya kuwa na lugha rasmi apa JF maana kama mtu anapost sentesi bila tafsiri tunakuwa Dilema
 
Wakimuachia kwa shinikizo la maandamano, basi tutakuwa tumefikia mwisho wa utawala wa sheria na tutakuwa tumebakiza utawala wa kiislamu. Mungu epushia mbali balaa hili.

Copy: rizt

kwani hakuna maandamano yalofanyika na watu wakatoka?????sasa leo hii unashangaa kipi???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom