Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

Tuacheni utani amani inapotea sasa kila siku ni vurugu

Hivi wapi kuna mahandaki nikaweke booking

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi niko maeneo ya kitumbini. Kuna kundi la watu wamwjaribu kaundamana ili kupinga kukamatwa shehe ponda. Polisi wamepiga mabomu ya machozi ili kusambaratisha. Watu tunakimbia hovyo. Macho yanauma kwa pili pili. Lo. Hali mbaya.
 
watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa shekhe ponda issa ponda waandamana kushinikiza aachiwe. waelekea centrel polisi.



source: habari zilizotufikiaa hivi punde itv
 
rais yupi ndugu yangu?????huyu dhaifu anaamini kila kitu ni upepo utapita.msimo mkali atautoa wapi???

Rais hana ubavu wa kutoa msimamo..tusiseme tunaye rais wa nchi ila tunaye rais wa matukio (ceremonial president).

 
polic wamejihimarisha tayar.enyi muslims mbona hamna dogo acheni sheria ichukue mkondo wake.
 
nchi haitawaliki tena mkuu
mkulu anatamani 2015 iwe hata leo.

Bila raisckuingilia kati na kutoa msimamo mkali nchi kweli itatikisika.

Waislam ambao ndiyo naamini waliopandikiza sera za udini hasa 2010 sasa hawaamini kinachotokea.
 
Sheikh Ponda hao ni wafuasi wake wamezingira central wakitaka aaichiwe na polisi ingawaje wamezingira kwa kila mfuasi kuja na njia yake.KOVA anasema PONDA anahusishwa na mambo kadha wa kadha ikiwemo suala la kiwanja. Huyo PONDA twataka aendelee kushikiliwa kwani yeye ni nani mpaka tukose usingizi.
 
Hii nchi inapendeza kweli jinsi matukio yanavyofululiza, kesho sijui kutakuwa na lipi!
 
Back
Top Bottom