Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

​kama ni mfuasi wa ccm aliyekufa safi saaaaaaaaaaaaaana maana mmeuwa chadema wengi tit 4 tat is lovelly job

Na kama hawajafa ndugu zako kweli Mungu awaue usiku wa leo wote!
sweetlady dear, don't be like them.

​ni haki na amani kwa tanzania kama ccm wakifa wote

​mwigulu na ccm wake ni majambazi wastahili adhabu ya kifo na siku zao zinahesabiwa kama wamemtuma mkenya sisi tutatuma mcongo

Heri kifo kinachotafuta haki kuliko aman inayopumbaza M4c daima

Hawa magunster wamezidi sasa kutaka damu za watu nenden kuzimu magamba hamna lolote zaidi ya uuwaji

Kusema kweli nimesikitishwa sana kauli hizo hapo juu. Siasa ni upinzani na sio uadui, lakini bahati mbaya tumeshakuwa maadui wa kumwaga damu. Tendo la kuwa wao wamefanya, halitupi kibali na sisi kufanya kama wao.

Wana JF, kaam ushauri tu "nyimbo mbaya haibembelezewi mtoto." Tuhubiri amani na sio chuki. Haya yanaweza kuanza kama cheche ya moto, tusipouzima hapa patakuwa hapakaliki.

Ushauri kwa MODS, msiruhusu JF kuwa jukwaa la kutangaza chuki kiasi hiki. Tushirikiane tuzibe ufa kabla ya kulazimika kujenga ukuta!
 
Last edited by a moderator:
CCM wametoka wapi kwenye mkutano wa CHADEMA? Nania alikuwa na kibali cha kufanya mkutano mahali hapo?

mkuu mashindano baina ya mwigulu na cdm tumeyaona kwa muda mrefu, kurushiana maneno tumezoea kiasi cha kujenga chuki, tazama bungeni jinsi mwigulu alivyowaatack cdm, pia angalia hata hapa jf, kwa hiyo hali ya ushindani ilipitiliza na kuwa uadui, kwa mtazamo wangu ilitakiwa watu wenye busara tu wa cdm kwenda iramba, tena wajikite katika sera na sio kashfa na maneno ya maudhi. Nakuhakikishia wana cdm walienda kishari zaidi kuliko kihoja iramba. Serikali isipotumia nguvu kuzuia hawa wahuni, nchi haitakalika.
 
Tunaomba taarifa zaidi sisi tulioko nje ya nchi tujue kinachoendelea,walikuwa ni wabumge gani hao.,hilo mbona ni jimbo la mwigulu wao walifuata nini huko.



Uko nje ya nini isije ikawa ndiyo umetoka kutotolewa. km uko nje kwa maana ya nje ya nchi na uwezo wa kufikiri ndio huo nakuomba uingie ndani (darasani) mara moja upashe ubongo kwanza. eti jimbo lake! kakwambia ana hati miliki ya kuzuia wengine wasifanye shughuli yoyote hapo jimboni
 
Nikweli mtu mmoja amefariki katika mkutano huo, chanzo cha ugomvi huo ni kuwa wakati mkutano ukiendelea watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CCM walianza kurusha mawe kuelekea ulipo mkutano huo na ndipo wafuasi wa Chadema walijibu mapigo kwa kuanza kuwafukuza na kuwapiga kwa mawe wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CCM na kumpga mmoja hadi kusababisha kifo chake.

Inadaiwa vurugu hizo zilikuwa zimeratibiwa kwa lengo la kuvuruga mkutano huo

ccm wata leta vita nchi hii,polisi walikuwepo still wana angalia tu
nasema hatuna polisi Tanzania!
 
Siasa za maji taka zitakuja kutugharimu muda sio mrefu. Mbona hatuhimizani kutafuta maendeleo kwenye mambo yaliyo kwenye uwezo wetu tumejikita kwenye kutaka kuuana tu?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mimi nadhani kuna haja ya kumpiga chini IGP Mwema. Haya yote yanatokea kwa sababu polisi sasa hivi ni afadhali ya mgambo. Polisi imegeuka kuwa kundi la wauni tu wanaokula kodi yetu tu. Inasemekana polisi walikuwepo wanawaangalia tu watu wanaanzisha fujo. Sasa polisi walienda pale kufanya nini.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Popote anapokuwepo mwigulu mwenyewe ama kwa taathira inapohusu kampeni ama mikutano ya chama tindikali, vurugu na sasa mauaji mchana kweupeeee!!!!! hujitokeza kwa pamoja ama kwa mtiririko.
Wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la igunga 2011 tuliambiwa hapa JF kuwa mwigulu aliratibu kambi ya mafunzo kwa vijana akilenga kuwatumia kutekeleza mipango ya hujuma dhidi ya chadema. Kama vile haitoshi, kulikuwa na vijana kati ya hao walikuwa spesho kuwamwagia wenzao tindikali kwa lengo la kuitisha jamii iiogope chadema, mbinu mithili ya hizi zilitumika pia arumeru mashariki ambako mwigulu alikuwa kampeni meneja kama alivyokuwa igunga!
Kwa kuwa kile kikosi alichokipa mafunzo ya kutosha kufanya vurugu miongoni mwao wapo pale pale jimboni iramba magharibi, naamini ilimuwia rahisi kabisa huyu ncheemba kuwasakizia "misukule wake" kutekeleza hujuma walizojifunza pale misigiri.

IMENIUMA SANA NDUGU ZANGU KUWA SAMPULI KUUTAMBUA UBAYA WA MWIGULU MADELU NCHEMBA.
iko wapi busara ya kusema jimbo la iramba magharibi haliwezi kuliwakishwa isipokuwa na mwigulu?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mkuu mashindano baina ya mwigulu na cdm tumeyaona kwa muda mrefu, kurushiana maneno tumezoea kiasi cha kujenga chuki, tazama bungeni jinsi mwigulu alivyowaatack cdm, pia angalia hata hapa jf, kwa hiyo hali ya ushindani ilipitiliza na kuwa uadui, kwa mtazamo wangu ilitakiwa watu wenye busara tu wa cdm kwenda iramba, tena wajikite katika sera na sio kashfa na maneno ya maudhi. Nakuhakikishia wana cdm walienda kishari zaidi kuliko kihoja iramba. Serikali isipotumia nguvu kuzuia hawa wahuni, nchi haitakalika.
Ushahidi uko wapi! Jaziba tu ndio inakusumbua!
 
Mkuu Tumaini Makene huyo raia amekufa wakati gani.? Amefia hapohapo kwenye mkutano yaani wakati mkutano unaendea jamaa ndio alikua anauwawa,au ameenda kufia mbali na sehem ya mkutano.? Na huo mkutano haukuvunjika kutokana na hizo vuqugu.?....... Na kama polisi walikuepo wanawajibika kutoa maezo kama walizidiwa na raia..!
 
Chanzo changu cha habari kimeniambia kuwa wamekufa watu watatu. Very sad indeed.

Subirini muone na hao polisi walioshindwa kuwakamata waliomteka dr. Ulimboka watakavyo react.
 
ndugu yangu mwigulu mbona unasiasa za kijinga hivi, wabunge wenzako wa ccm waliopitiwa na m4c mbona walikuwa wapole waliwaachia wananchi wakahudhuria mikutano ya cdm kwa utulivu na amani wewe unakodisha watu ili ionekane cdm wameanzisha vurugu, mbona unazidiwa maarifa hata na maji marefu uliyemzidi elimu hana siasa za kipuuzi kama zako. mwigulu, igunga ulikuwa kampeni meneja uliongoza vurugu watu wakafa, arumeru ulikuwa kampeni meneja vurugu na matusi uliongoza. m4c ipo jimboni kwako unaongoza vurugu badilika kaka jizatiti kwa 2015 kwa kuwahudumia wananchi watakupenda tu
 
unajua kusoma vizuri? nimesema KATIKA KIPINDI AMBACHO WANA UHASAMA NA KESI BUNGENI SIONI KAMA NI SAHIHI KWA MNYIKA KUTEMBELEA JIMBO LA NCHEMBA. kasome maneno yangu vizuri tena. inaelekea kichwani kwako pumba nyingi
Mbona katiba ya JMT inaeleza wazi kwamba kila mtu anahaki ya kwenda popote, iweje wewe uweke mipaka kwa Mnyika? Tangu lini Nchemba akawa na hati miliki ya jimbo?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Uko nje ya nini isije ikawa ndiyo umetoka kutotolewa. km uko nje kwa maana ya nje ya nchi na uwezo wa kufikiri ndio huo nakuomba uingie ndani (darasani) mara moja upashe ubongo kwanza. eti jimbo lake! kakwambia ana hati miliki ya kuzuia wengine wasifanye shughuli yoyote hapo jimboni

unatafuta mume wewe,halafu waambie na hao waloenda iramba wahakikishe wanaolewa.kuna madume kibao pale.
 
Mbona katiba ya JMT inaeleza wazi kwamba kila mtu anahaki ya kwenda popote, iweje wewe uweke mipaka kwa Mnyika? Tangu lini Nchemba akawa na hati miliki ya jimbo?

ukizingatia chemba ilienda kufumua harufu mbaya pale tegeta na kugawa pikipiki, watu waliiangalia ikabwabwaja weeee hadi ikachoka.
 
Back
Top Bottom