Hali ni tete

Yusuph Salehe

Member
Nov 12, 2010
58
1
Kweli hali ni tete, yaani nashindwa kuelewa hii dunia inaenda vipi, Hivi wadau hili suala la hawa "FREEMASONS" mnalichukuliaje?? Can they dominate the whole world????!!!!!
 
imekuwaje tena bwana yusuph....umekutana nao? au ni nini kimekusibu....hebu tufungue macho
 
Kweli hali ni tete, yaani nashindwa kuelewa hii dunia inaenda vipi, Hivi wadau hili suala la hawa "FREEMASONS" mnalichukuliaje?? Can they dominate the whole world????!!!!!
How many times do you want them to do so?...They have already overtaken everything!...we are doomed!
 
Vipi mbona husomeki, au wanakuhitaji ujiunge nao, au unataka uwajue vizuri, au umeota ndoto juu yao,
 
Na gazeti moja linatolewa kila wiki ndiyo la kutangazia mambo ya freemasons, maana kila wiki kuna topic ya freemasons.

Hata kama huna interest itabidi ujiulize hawa ndiyo nani? Yaani wanatumia negative publicity ili watu wawe interested na dini yao.
 
Kuna thread ipo hapa kwa zaidi ya mwaka kaisome... na kama nia yako ni kuwajua vizuri basi title ya thread haiendani na lengo

If you cant beat them, join them

Kwa kjuongezea hiyo tread inapatikana ktk jukwaa la 'jamii inteligence'
 
Back
Top Bottom