Elections 2010 Hali ni Tete Jimbo la Ubungo WASIMAMIZI WAGOMA NA MATOKEO

Makanda

Member
Oct 29, 2010
77
2
Dar-ubungo wabebwa kwenye magari ya takataka wasimamizi wa uchanguzi posho hazijatoka wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari la Taka WaMENGOME MATOKEO MAMBO SI SHWARI.
 
Kwani ni nani anayehusika na malipo yao? Ama wanataka kusubiri serikali mpya ije kuwalipa malipo yao.... Slaa unayo kazi baada ya kuapishwa maana JMK amekomba kila eneo. chukua chako mapema na seeeeppaaa
 
Kwnini mgogoro uibuke ktk jimbo ambalo limekombolewa? Mh! nasmell harufu mbaya hapo.
 
nasikia walikubaliana malipo yao ni kesho. au kuna watu wamewapandikiza hila ili wagome tu.
 
Back
Top Bottom