HALI NI MBAYA TUMAINI-SMMUCo!

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Wadau, hali ya wanachuo Tumaini Smmuco ni mbaya sana kutokana na wengi wao kutopata mikopo yao hadi sasa. Plz, can somebody tell me what's wrong with Loarns Board?
 
Sasa mnasubiri nini simuende hata mkachome jengo la mkoa halafu wataunda tume na nyie mtapata hela
 
WanaJF tumeshimu mipaka ya majukwaa, MODS please pelekeni hii jukwaa la Elimu.
 
Nasikititika sana kuona kauli kama hizi zikiwa zinatoka kwa kijana mzalendo kama wewe, nadhani jibu lake ni rahisi sana kwani kila matanzania anajua ya kwamba serikali yetu huwa inasikiliza wapiga kelele. Hivyo basi niniyi pamoja na serikali yenu jipangeni vizuri na kuanzisha maandamano ili muweze kusikilizwa.

Na vilevile mna uongozi mbovu sana na nadhani huwa mnapochagua Raisi manaangalia sura au umri, Wenzenu wa SUA wamefungua na wamekaa sikum 4 ya tano jioni bum limeingia, hivyo ulizieni kwao ili mupewe uzofu wa haya mambo
 
Back
Top Bottom