Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

Leo hii Nape Nnauye aliingia humu na kuanzisha thread inayosema, Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa na sasa polisi twaambiwa wameiba maiti na kuwapiga wananchi mabomu. Je ni vigumu kujua haya maamuzi yamefanyika katika kikao cha namna gani gani ? CCM mbona mnatupeleka pabaya, shame on you Kikwete !

 
yayayayaaaaaa wasifanye kosa km hilo km wamemgusa yeyote wa makamanda wa CHADEMA baaaaaaaasi CCM ndo mwisho wenu lazima tushikishane adabu. risasi ya jicho!!!! sisi tutatenganisha kabisa koromeo kichwa na kiwiliwili itakuwa rwanda nyingine very sooooon. ccm must go now km tulivyomkimbiza nduli idd amin ndivyo ccm wachapwe jinsi ilee
 
Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa huko Tarime hali ni mbaya sana baada ya Polisi kupiga Mabomu na kuwakamata Lissu ,Waitara na Makamanda wengine wa CHADEMA.Polisi wamepiga mabomu hayo ili wapate nafsai ya kuvamia Mochwari walikohifadhiwa marehemu.Hali si shwari kabisa.

Naomba tuwaombee wenzetu wote wa Tarime ili MUNGU awalinde na kuwaepusha na mabaya zaidi.

- Dada Regia hii habari imekaaje mbona kama Lissu nimemuona humu kwenye mjadala, au ana laptop huko lupango?

Es!
 
Never happened in Tanzania napiga picha polisi wanavyozunguka na maiti za watu kwenye defender utadhani wa Palestina na wa israel halafu napiga picha ya rais aliyekaa ikulu na kusimuliwa haya ya wapiga kura wake (maiti) walio kwenye hiyo defender sipati jibu ya kule tunakoelekea.
 
Jamani huku hakufai mkisikia mengine makubwa zaidi ya haya msishangae, wananchi wameingia mitaani kuchomoa askari yeyote yule aliyopo tarime, nitawajuza zaidi, mimi nilitoroka kwa kujifunga mtandio
 
CCM has planted the seeds of its own destruction, soon watavuna walichopanda. JK anazidi kuzipunguza siku za kukaa ikulu.


........... Please, document all the happenings! There is evidence needed by the ICC. Ocampo is waiting. Hapo ndipo tutakapo onyesha kuwa amri ya kuua raia imetoka moja kwa moja kwa KIKWETE mwenyewe.

Serikali ikianza kuua raia wake imepoteza legitimacy ya kuongoza.
 
Jamani nchi hii imegeuka somalia, kwa nini viongozi wetu wanatufanyia hivi lakini?????????? Yani ninatamani hata nife kuliko kuona haya maovu yote yanayotendwa na serikali ya kikwete
Mkuu nikujipanga ili siku, saa ikifika tuwe tayari..
 
Nyamongo yowe imepigwa na hali ni mbaya polisi wanaelekea huko. mjini taarifa zinasambaa kasi ya ajabu . hali ni mbaya na chochote chaweza kutokea.
 
Jamani huku hakufai mkisikia mengine makubwa zaidi ya haya msishangae, wananchi wameingia mitaani kuchomoa askari yeyote yule aliyopo tarime, nitawajuza zaidi, mimi nilitoroka kwa kujifunga mtandio
Inaelekea kazi nikubwa..
 
wakuu tarime imechafuka ile barabara, kiukweli hakukaliki kwasasa ila wananchi wameingia mitaani kwa slaha za jadi wanasema polisi yeyote yule mbele yao ni halali kwao , ni bora tufe tujulikane tulikuwa tunapigania haki zetu za msingi, muraaa mimi nilitoroka eneo la tukio nikiwa nimevyalia vyazi la mtandio, maana na mimi walikuwa wananitafuta kweli kweli ila hawakubahatika hata kunirushua jiwe, tunaandaa timu ya kwenda kuwatoa kwa nguvu waliyopo polisi
 
kwa utamaduni wa tarime ni kuwa yowe ikipigwa ni hali ya hatari na kila mwenye silaha atoke nayo hata kama ni jembe ,panga .na mishale bila kusahau gobore.
 
Yaitishwe maandamano ya nchi nzima tuwang'o....hatuna tunacho kiepusha kama ni damu imesha wangika....
 
mzaha mzaha hutunga usaha,sasa tuna kila sabagu ya kuuangusha utawala wa Baba Riz1
Mungu wabariki Wanatarime,wasirudi nyuma ktk Mapambano ili tupate sababu za kutosha kuandamana nchi nzima kupinga dhuruma na uonevu.
 
Inaelekea kazi nikubwa..

kama unaroho nyepesi waweza ingia chini ya uvungu wa kitanda, polisi wanaendelea kupiga mabomu bado, tunaomba watanzania wenzetu kesho msiende kazini gomeni ili srikali itutendeee haki maana huu ni ujasusi , bado lissu yupo ndani pamoja na waitara na makamanda wengine wengi
 
- Dada Regia hii habari imekaaje mbona kama Lissu nimemuona humu kwenye mjadala, au ana laptop huko lupango?

Es!

LISSU yupo polisi tarime pamoja na viongozi mbalimbali wa cdm. ila pia wazazi wa marehemu wako ndani na miili imechukuliwa na polisi haijulikani imepelekwa wapi.
 
huu ni utawala dhalimu wa ccm. my patient is wearing thin with police. sijui ntafute rocket launcher siku nikiona tu yale magari ya washa washa niyalipuee niko serious lazima kuwe na sacrifice ili wengine waishi kwa amani hata us walichinjana saaana miaka ya 1700 huko leo wote ni wastaarabu. ntakwenda mpakanibna rwanda na burundi ntapata tuuu mbuzi wawili mzee nna rocket launcher langu. ccm wakimwaga mboga mie natawanya ugaliiiii
 
Wamechukua maiti kwa nguvu wameondoka nazo wakati wazazi wa marehemu nao wamekamatwa
Are you serious Tina. If this is true viongozi wetu tunaomba mtuoganaiz tu mengine mtuachie wenyewe.
 
jamani huku hakufai mkisikia mengine makubwa zaidi ya haya msishangae, wananchi wameingia mitaani kuchomoa askari yeyote yule aliyopo tarime, nitawajuza zaidi, mimi nilitoroka kwa kujifunga mtandio

oh dear god,am crying with my anger all alone! We need our tahrir square..jamani mnaonaje mnazi mmoja iwe tahrir square yetu!? Makamanda wa organaizeheni mpo wapi?, dsm ni muhimu kwa mabadiliko..tukapige kambi ya maana pale..! We must be first black africans kukataa ubeberu
 
Back
Top Bottom