Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

Inaonyesha huyo kamanda anaumwa so sio kosa lake kushindwa kufikiri kuwa mtanzania anaruhusiwa kuishi mahali popote ilimradi asivunje sheria!
 
who the hell does tz police thnk they are! Do they think they do whatever they please.
Damn them and their superior
 
Hivi kulikuwa na ulazima CDM kushinikiza mazishi? Naomba nipate maoni kwenu mlio karibu na vigogo Wa CDM
 
Unajua kuna upumbavu mwingine humu Kwenye JF ni Wa hatari unapotangaza kuwa utaingia mtaani na kuleta machafuko we ni mpumbavu tena hufai hata kusikilizwa siamini hata Kama umewahi kwenda JkT. Kama polisi wamefanya makosa zipo hatua za kisheria we mpumbavu usijua adha ya vita tuulize wenzio tulio onja joto ya vita au ugumu Wa kudhibiti machafuko maana huingia hata wasio kuwamo. Tuache kujifanya magangwe wakati hata Ngumi hatujawahi kurusha ebo...
 
Hivi kulikuwa na ulazima CDM kushinikiza mazishi? Naomba nipate maoni kwenu mlio karibu na vigogo Wa CDM

Kama una hoja basi hoji kwanza kama kulikuwa na ulazima wa polisi kuua wananchi wa Nyamongo? Kisha rudi ujifunze maana na matumizi ya ya neno kushinikiza!!! itakusaidia hata siku za baadaye.
 
Nilitarajia CCM kufilisika, lakini sikutarajia lufilisika na kufikia kiwango cha kutupa maiti barabarani !!!
 
Swali la kulikuwa na ulazima CDM kushinikiza mazishi? Kwanza sijui kama walikuwa wanashinikiza mazishi nafikiri choice of words hapa ni kushiriki mazishi kwa wafiwa walioachwa katika sympathetic situation kwa matokeo ya vifo vyenye utata na vizuizi vya kunyimwa haki yao ya wafiwa kutaka kujua ukweli.

Swala la kushiriki si dhambi kwa sababu si mara ya kwanza serikali, chama, dini au hata taasisi kufanya hivyo kuwafariji kwa hali, mali na mawazo katika hatua mbali mbali za mazishi na maziko. Sioni cha ajabu hapa ila cha ajabu ni hayo ya Polisi na waliowatuma kufanya mambo ya aibu na yasiyo ya busara kwa wapiga kura. Ni uchunguzi tu wanaoukataa kwa vitendo vyao ndio ungesaidia watu kuelewa walichofanya Polisi amabao walipashwa kuwa na sababu nzuri ya kufanya hivyo na kwa nini sasa wanazuia uchunguzi. Wanaficha nini? Walls have ears, hatimaye tutajua A-Z halafu kuna siku itakula kwa wahusika katika serikali husika, kujibu mahakamani.
 
Mungu tunaomba utuhurumie sana Watanzania,Pia tunakuomba uzilaze roho za ndugu zetu walio katishwa roho zao peponi amen.Nimesoma michango mingi ktk hili jambo lililo tokea huko Nyamongo inaniuma sana mimi kama binadamu.Hivi Polisi hamna mbinu nyingine ya kumkamata mtu mnapo muhitaji? Pia kwa moyo wangu wa dhati ni mshukuru mh Tundu lisu kwa kuwa mstari wa mbele kuhitaji haki itendeke pia bila kusahau matiko na wananchi wote wa tarime wapenda haki Mungu awe nanyi.
 
Wote wanafiki wa CDM mtapoa tu, CCM itatuliza hili boli kiulaini tu. Walioleta fujo watashughulikiwa walio fiwa watapewa pole na yote yatapita. Na hao wabunge wenu walio kwenda huko kutafuta umaarufu basi watakiona cha moto.
 
Una haki ya kuweweseka.
Wote wanafiki wa CDM mtapoa tu, CCM itatuliza hili boli kiulaini tu. Walioleta fujo watashughulikiwa walio fiwa watapewa pole na yote yatapita. Na hao wabunge wenu walio kwenda huko kutafuta umaarufu basi watakiona cha moto.
 


The Thigithe River in North Mara, Tanzania, meanders through scattered villages and clumps of trees in a vast expanse of land ringed by hills close to the Kenyan border. Nearby, an enormous, sprawling mound of rocks and stones several metres high reaches up from the earth. This is the region’s notorious gold mine, operated by African Barrick Gold, a subsidiary of the Toronto-based Barrick Gold Corporation. The mine has a reserve of an estimated 2.95 million ounces of gold.

In May 2009, toxic sludge from the mine seeped into the Thigithe River. Reports from the surrounding villages alleged that the toxic material led to the deaths of about 20 people and to fish, crops and animals dying from the contaminated water. The following year, controversy raged in Tanzania’s parliament as activists, villagers and human rights organisations tried to have the mine shut down.
 
Back
Top Bottom