Hali ngumu ya maisha: Kwanini watanzania ni watamu ktk kuongea lakini kutenda waoga?

Yonjolo

Member
Jan 19, 2012
79
6
Amani iwe kwenu wana Jf wote.
Kilio changu leo nakirudisha kwetu wenyewe watz kuhusiana na hali ya maisha yetu kuzidi kuwa mbaya.
Tukiangalia swala la umeme lipo wazi hakuna mtanzania anayepata nafuu, sasa tumekuwa watamu ktk kuongea pembeni huku tukiacha kuchukua hatua

Kama tumeweza kuwapa ajira hawa watendaji tunashindwaje kushikamana na kuwafukuza?

Nakipa big up sana chama cha NCCR maana ingawa mi sio mshirika wake lakini nilikwenda kuungana nao katika maandamano yao ya kupinga kuongezeka kwa gharama za umeme. Nigeria wanaingia siku ya tatu ktk maandamano ya amani kupinga ruzuku ya mafuta kwa serikali.

Hili jambo si la KICHAMA, UDINI WALA LA KIKABILA bali ni la UTANZANIA NA UZALENDO.

TUKITHUBUTU TUSHINDWA?

nawasilisha
 
Back
Top Bottom