Hali Mh Highness S Chiwia,

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Habari wana JF,
naomba kujuzwa hali ya mbunge Wetu Highness maana kuna tetesi za mtaan nimezipata ambazo si nzuri kuwa huko aliko India hali si nzuri baada ya kuchelewa kupata tiba hasa sehemu za kichwa,
 
Juzi kati nilimwona kwenye vikao vya kamati za bunge, akijiandaa na bunge la bajeti, hzo taarifa nyie mmezitoa wapi.......?
 
Kwa kweli mwenye habari za kuaminika, kina Wah. Zitto na Mnyika feed us the righ thing!
 
Back
Top Bottom