Hali mbaya ya uchumi wa tanzania

regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
51
Katika hoyuba yake kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru (wa Tanganyika au Tanzania) Raisi Dr Dr Kikwete ameendelea kulalamika ya kuwa hali mbaya ya uchumi wa Tanzania inatokana na misingi mibovu tuliyoachiwa na wakoloni.
Jamani hivi hii imekaaje? (Tujadili)
 
jk huna timamu anasema misingi mibaya ulioachiwa na wakoloni kwani uhuru tumepata lini...??...now 50 yr imepita bado tu nchi ujaijenga...kisa wakoloni...pumbavuuuuuuu since nyerere>mwinyi>mkapa..now ni wewe...bado tu unalaummu wakoloni...wewe ndio umeharibu nchi na undugunaizacheni....
 
Kumbuka ni mtaalamu wa political economy!
50 years you are still blaming the past!
 
Hivi tutaacha lini kusingizia watu wengine juu ya matatizo yetu. Matatizo yetu yanasababishwa kwa kiasi kikubwa na uamuzi wetu wa kujaribu kuupiga vita umaskini kwa kutegemea misaada ya wahisani, iliyojaa masharti mengi yasiyo na tija! Kwanini tulizika philosophy ya Kujenga uchumi kwa kujitegemea?
Jamani vichwa tunavyo imefika wakati tuvitumie kutafuta njia ya kujikwamua na matatizo yetu. Wathungu hawatatusaidia kwa lolote. Na ni upumbavu kuendelea kufikiri kwamba suluhu ya matatizo yetu italetwa na wathungu
 
Back
Top Bottom