Hali katika Baraza la Uwakilishi Zanzibar sio Shwari juu ya Muungano.

Sioni connection kati ya kuwa na ubalozi VATICAN na Znz kujiunga na OIC.
Ivi hajui kuwa Vatican ni nchi na sio jumuia like OIC!
Tz akumbuke kuwa haina dini!
Kama Tz haina dini sasa wa vatikan anatafuta nini? si anawakilisha dini huyu? Jumuia ya madola je ambayo mkuu wake lazima awe ni mkuu wa kanisa la Aglican mbona Tz ni mwanachama?
 
Na wanasahau Saudi Arabia ni nchi sawa na Vatican?

Vatican sio nchi mkuu,raisi wake nani? tena hapo patamu kama vatican ni nchi ndani ya nchi ya Italy na bado wanakuwa na uwezo wa kupeleka mabalozi na kuingia mikataba ya kimataifa kwa nini Znz isiingie mikataba na OIC?
 
Vatican sio nchi mkuu,raisi wake nani? tena hapo patamu kama vatican ni nchi ndani ya nchi ya Italy na bado wanakuwa na uwezo wa kupeleka mabalozi na kuingia mikataba ya kimataifa kwa nini Znz isiingie mikataba na OIC?

Ohoo yaani wewe kila nchi lazima iongozwe na Rais? Rais wa Saudia ni nani?......Vatican ina Head of State ambaye ni Joseph Ratzinger......hiyo OIC yako ni nchi gani mpaka iwe na balozi?

Soma hapa http://www.vaticanstate.va/EN/State_and_Government/General_informations/
 
Sioni connection kati ya kuwa na ubalozi VATICAN na Znz kujiunga na OIC.
Ivi hajui kuwa Vatican ni nchi na sio jumuia like OIC!
Tz akumbuke kuwa haina dini!

Hoja poko hii! wewe wataka kula tu hutaki na wenzio wakukule! ovyoo! eti vatikani ni nchi rais wake nani?
 
Nchi yetu Tz wanafiki wakubwa,eti ni kosa la jinai mtu kuwa na uraia wa nchi mbili,mbona Pengo ana uraia wa Vatican kama mnasema Vatican ni nchi?
 
Vatican ni nchi, ndio ukweli. Mtu anayefikiri si nchi hajui ni wa kuelimishwa. Akikataa kuelimishwa aachwe alivyo. Kuna siku atazindukana.
 
Vatican sio nchi mkuu ndio maana wakatoliki wote duniani hujiita raia wa Roma,Roman Catholic,hivi hakuna Tanzania Catholics?

Vatican
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search

Vatican may refer to:

Holy See, the central governing body of the Catholic Church and sovereign entity recognized by international law, consisting of the Pope and the Roman Curia. The Vatican can also be referred to as "The Holy City".
A metonym for the Catholic Church, particularly when attributing doctrine
Roman Curia, the administrative apparatus of the Holy See
Vatican Library, of the Roman Curia
Vatican Secret Archives, which were separated from the Vatican Library in the 17th century
Vatican Publishing House, the publisher of official documents of the Holy See, separated from the Vatican Library in 1926

Vatican Hill, a hill in Rome, after which the Vatican is named, on the opposite side of the Tiber from the traditional seven hills of Rome
Vatican City, the territory on the Vatican Hill in Rome under the sovereignty of the Holy See created by the 1929 Lateran Treaty
Apostolic Palace, the official residence of the Pope on the Vatican Hill (sometimes referred to as the Vatican Palace)
St. Peter's Basilica, also known as the Vatican Basilica, the principal church on the Vatican Hill
Vatican Museums
 
kama issue hapa ni muungano wazuieni wabunge wazanzibar wasiende Dodoma, waiteni nyumbani akina ali hasan mwinyi na watoto wake, Garib Bilali, Shamsa Vuai nahodha pamoja na wengine wote waliopo katika serikali ya jamhuri ya muungano.;
 
Sioni connection kati ya kuwa na ubalozi VATICAN na Znz kujiunga na OIC.
Ivi hajui kuwa Vatican ni nchi na sio jumuia like OIC!
Tz akumbuke kuwa haina dini!
vaticankweli ni nchi na maaskofu pamoja na makadinali wana pasport za huko. Wamekaa standby, kikinuka tu wao haoo wanarudi kwao.
Ila swali, kwani hawa jamaa wameruhusiwa kuwa na pasport za nchi mbili wakati sheria ya duo citizen haijapita?. Kwa mfano mimi nafahamu kabisa kama kadinali perngo anapasport mbili.

Anayefahamu atujuze tafadhali.
 
mwisho wa siku walioko nyuma ya uamsho watajulikana tu...

anyway si wana rais wao? kama hawautaki muungano si waseme tu, wanamnung'unikia nani?
 
vaticankweli ni nchi na maaskofu pamoja na makadinali wana pasport za huko. Wamekaa standby, kikinuka tu wao haoo wanarudi kwao.
Ila swali, kwani hawa jamaa wameruhusiwa kuwa na pasport za nchi mbili wakati sheria ya duo citizen haijapita?. Kwa mfano mimi nafahamu kabisa kama kadinali perngo anapasport mbili.

Anayefahamu atujuze tafadhali.

Unafahamu halafu unataka tukufahamishe? Kwa hiyo Pengo ana pasi mbili ndivyo ulivyoambiwa?
 
Any State, member of the United Nations, having Muslim majority and abiding by the Charter, which submits an application for membership may join the Organisation if approved by consensus only by the Council of Foreign Ministers on the basis of the agreed criteria adopted by the Council of Foreign Ministers.
http://www.oic-oci.org/page_detail.asp?p_id=53
Sasa mbona Zanzibar sio member wa UN bali Tanzania ambayo haina dini na ambayo Muslims are not of majority
Na muslim majority wako Zanzibar na sio bara!
Tanganyika was a Member of the United Nations from 14 December 1961 and Zanzibar was a Member from 16 December 1963.
Following the ratification on 26 April 1964 of Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar, the United Republic of Tanganyika and Zanzibar continued as a single Member, changing its name to the United Republic of Tanzania on 1 November 1964.

United Nations Member States
Kwenye charter yao OIC wanataka promote Islamic value of which to a non secular state like Tanzania is unwelcomed afterall sidhani kama mnakuwa mistreated!
Alafu tutumie akili kufikilia Vatican ni inchi na OIC sio nchi na Baba Mt Ndio Raisi wake so sisi tuna ubalozi kule kama nchi and not otherwise.
Kwa hoja za apo juu mpaka Zanzibar ikijitenga na kuwa member wa UN na kwa kuwa Moslems are of majority then mnaweza kuwa member wa OIC.
OIC wanasema “To respect the right of self-determination and non-interference in the domestic affairs” of which Tz is a non secular and that has to be respected!
 
Back
Top Bottom