hali hii,ukimwi is directly proportional to macho.labda serikali wafungie bendi zote

Hawa wamiliki wa bendi na sehemu za starehe wanadhalilisha sana Wanawake.
 
crap.gif
Hawa wanafanya anayofanya huyo jamaa hapo juu....
 
Mpaka sasa dawa sahihi ya UKIMWI iliyokwisha kugunduliwa ni"KUACHA KUFANYA NGONO NZEMBE" full stop.
 
Hiyo yote ni mbinu ya shetani kuwavuta watu kwake ukiiisha fika basi you are in!!!
 
mkuu hapa hapana hata kama nina kiu kiasi gani labda wateja wa uwanja wa fisi, mnazi, sokota
 
Back
Top Bottom