hali hii,ukimwi is directly proportional to macho.labda serikali wafungie bendi zote

Kwani Ukimwi unaambukizwa kwa kuangalia? wewe angalia kama unachapa kwa macho haya....
 
the attitude of mind necessarily depends upon what we think
therefore the secret of all power,all achievement,all possession and failures depends upon our method of thinking.
cant you see the picture and come up with the positive thoughts?
 
This is what we expect from great thinkers.
 
Mkuu Ivuga kwanini upate ukimwi kwa kuangalia bendi, hivi Shakira anavyocheza wanaomwangalia wangapi wamepata ukimwi?

Huku ni kutakatu kutokubali ukweli, kwani mnataka kumaanisha hamwelew ivuga alichotaka kumaanisha hapa! au akili zenu hazina uwezo wa kuhusianisha picha hyo na anachokisema!?
 
Huku ni kutakatu kutokubali ukweli, kwani mnataka kumaanisha hamwelew ivuga alichotaka kumaanisha hapa! au akili zenu hazina uwezo wa kuhusianisha picha hyo na anachokisema!?

Alikuwa anamaanisha nini?
 
avatar25478_5.gif

hii avatar yako kiboko...full hasira...hahahaaa
 
self control muhimu sana, please note kuwa kama macho yanakukosesha ni heri yang'oe kwani bora uingie mbinguni ukiwa na chongo au kipofu kabisa kuliko kubaki na macho yako yote mawili na kutupwa jehanam
 
Duh,tumetofautiana kuona,whats so attractive about that woman Ivuga au kuona tu hiyo ngozi isiyopaswa kuonekana????Jinsi tu alivyo vaa inatosha kuku-turn off hivyo vinavyotakiwa kuamka.......Mungu atatusaidia,ni kujitahidi tu wanawake wazuri wako kila mahali na macho yataendelea kuona hadi siku yatakapofunga milele.
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Wala hata haivutii mpaka kuufikiria UKIMWI. Kama ni kiingilio awarudishie watu hela zao.
 
likitumbua limeduna kama la ng'ombe...nilifikiri sijui ni nini kimeduna hivyo?
 
Back
Top Bottom