gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Wanajamvi leo naomba nia post hili hapa kwenye general forum ila nimeumia sana nafsini na siriaz najiuliza nini hatima ya hii nchi ama ya tunakoelekea? naomba ni nunukuu huu ujumbe kisha wewe utoe mchango wako.
nanukuu....
"Wachina si WAPUMBAVU kutengeneza vitu FAKE kulingana na fedha uliyonayo, na sisi WAALIMU tujitahd kuboresha bidhaa zetu(WANAFUNZI) katika kiwango cha FAKE zaid kulingana na malipo serikali inayotoa ya nini kutengeneza wanafunzi ORIGINAL ili hali serikali haina uwezo wa kugharamia vitu original? TOA ELIMU KULINGANA NA UWEZO WA MTEJA. we unasemaje? fanya hivyo mwaya. Tuma kwa walimuwengi tu"
ujumbe huu nimeupata kupitia simu yangu ya mkononi usiku huu.........tunaelekea wapi?