Hali hii ni ya hatari Tunduma, watu wagezwa ng'ombe

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Wakuu niko huko Tunduma kwa wiki sasa kibiashara wenyeji wamenitahadharisha kuwa kuna umafia mpya umeibuka hivi karibuni.

Wenyeji wanatabanaisha kuwa umeibuka umafia wa kutegesha burungutu la fedha barabarani na ukiokota tu unabadilika kuwa ng'ombe halafu waliotegesha wanakuchukua na kwenda kukuchinja kwa manufaa ya kishirikina.

Kwa umafia huu watu wa huku wameaanza kuwa na wasiwasi wa maisha yao na pia hawaziamini sana nyama za mabuchani.

Hii ni hatari sana yaani mkoa wa Mbeya una maajabu yasiyoelezeka.
 
Ndio matunda ya kuwa "A Third World Country." Imani za kiajabu ajabu haziishi maana watu bado wako kwenye dark ages....hayo ni matunda ya utawala wa CCM Tanzania...
 
Tupe majina ya waliokwisha chinjwa au idadi ya familia zilizopoteza wapendwa wao. Kama huna taarifa hizo futa bandiko lako.
Wakuu niko huko Tunduma kwa wiki sasa kibiashara wenyeji wamenitahadharisha kuwa kuna umafia mpya umeibuka hivi karibuni.

Wenyeji wanatabanaisha kuwa umeibuka umafia wa kutegesha burungutu la fedha barabarani na ukiokota tu unabadilika kuwa ng'ombe halafu waliotegesha wanakuchukua na kwenda kukuchinja kwa manufaa ya kishirikina.

Kwa umafia huu watu wa huku wameaanza kuwa na wasiwasi wa maisha yao na pia hawaziamini sana nyama za mabuchani.

Hii ni hatari sana yaani mkoa wa Mbeya una maajabu yasiyoelezeka.
 
sasa wameacha kuchuna ngozi na wanakula nyama za watu ng,ombe!!!

Imbombo ngafu
 
nothing like that kwa akili ya kawaida hii kitu haiwezekani.Mungu aliumba binadamu na wanyama hivo mtu hawezi kuwa mnyama hata kidogo acheni fikra potofu ndio maana huko wanaogopa uchawi hata kujenga hawajengi.acheni mtizamo hasi jengeni nchi.Igeni mfano wa wachaga na makabila mengine yalioenedelea,hata huko uchagani uchawi upo ila watu wanaupuuza.
 
ndo ujipange sasa, usijeji-suprise baala ya kuchukua bidhaa ukachukuliwa bidhaa.
hyo ndo tunduma bwana wakinga waache tu bora hawa wengine wao husemekana wanaiba
ila wakinga mh!

nisameheni wakuu nilikuatu namshauri jamaaa.
 
kama akina sheikh yahaya na masheikh wengine wameapa kumlinda kikwete na yeye amefurahia ina maana ushirikina unaruhusiwa kuanzia kwa rais................baada ya hapo unadhani wananchi watafanya nini zaidi ya kujiingiza kwenye mitego ileile ambayo rais yumo?...............nchi inaendeshwa kwa ramli unadhani tutakuja kupata maendeleo hata siku moja pamoja na kuwa na raslimali lukuki?.......kamwe......rais ndio kioo cha watz na rais akiwa mshirikina basi watu wake pia watategemea ushirikina pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom