Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Nilitaka nishangae wakati kura yangu nimempa!!Naninataka kutangaza nia kwake!!!
 
CCM Dar yaelekea ubunge kubaki na majimbo mawili tu ya Temeke na Kigamboni.........hii siyo kazi ndogo hata kidogo........
 
Big up Halima, You have proved it. You are a fighter! They sent Mbatia to confuse wananchi, but this kind of plant was rejected by we Wananchi! Congartulations to all voters of Kawe who made it possible. Viva Chadema.
 
ameshinda kwa mbali saana , halafu matokeo kamili baadae, think before you post mkuu
 
Nakupenda sana mbunge wangu Halima. Kwa mara ya kwanza katika historia nimemchagua mtu aliyeshinda!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Allah yupo, tumeshachukua Zenji sasa imebaki Bara; hatuwezi kuzuia ufisadi na wizi wa CCM ila Mungu yupo tutashinda..iwe Chadema, CUF, NCCR powa ila CCM wasiwepo. Sijui JK itakuwa vipi ila so far so good tukiwa na wabunge wengi wa upinzani hata kama Dr. Slaa atakuwa nje tuna uhakika nchi yetu itabadilika kutumia wabunge wetu tuone hizo sheria zake na ufisadi wa CCM utapitia wapi na kifuatacho KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS
 
Hongera dada dada ,una msimamo
nkukumbuka ulipokuwa mtoto ukifanya kazi special reserve pale maktaba mlimani ,ulivyokuwa hutishwi na ndevu kwa kusimamia ukweli u deserve, i
 
Back
Top Bottom