Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Jamani hili ni Jimbo la CHADEMA kama la KAWE... Nawapongeza Mnyika na Mdee maana waitaipa changamoto Bunge Letu... wakimsaidia Zitto ambaye alionekana kama ndio nyota sio kwa sababu tu ya u-weledi wake bali pia kwa sababu tulikuwa tunamlinganisha na wazee wa kusinzia.


aieeeeeeeeeeeeeee kumbe na Halima Mdee mambo powa huko ...Dada kaza Buti tunakuhitaji sana na tuna imani mpaka mwisho matokeo ynatangazwa hilo jimbo lako madame :violin:
 
Haya Tumwombee awe na afya na nguvu za kutosha kutuwakilisha.
Majeshi ni mbele sasa kujenga Chadema yenye nguvu zaidi
 
Asante sana kwa taarifa, tafadhali tunaomba data; presha inapanda na kushuka vipi PhD wa ukweli, kakamua jumla ya kura ngapi ndani ya hizo kata 14. Nguvu ya Umma inazidi kusonga mbele.
 
Msitutanie, jamani sema kama kweli habari njema hii ni kweli, mimi ni tomaso!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!nasubiri kugusa madonda ya bwana yesu tu ndio nitaamini kuwa amefufuka
 
Wameiba lakini bado hazijatosha...............hongera wana chadema.....watz tumeamka na tumekumbuka shuka kabla hakujakucha kitu ambacho ni muhimu sana
 
Ameshinda kwa kura 16,000. Watu wako mabibo wanasubiri atangazwe rasmi
 
Hureeeeey!
Dar imekombolewa....!
Watuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeessssssssssssssssssss..!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
:yield:Kura yangu imetenda haya...Hongera jopo la wana-opereasheni 'USHINDI KWA MNYIKA'. Tukutane pale pale pa siku ile tuanze kusherehekea.:yield:
 
Sisiem wameshindwa kabisa kuchakachua mwaka huu, trend hii iendelee na kwenye urais pia.
 
Back
Top Bottom