Hali bado tete jijini Mbeya

Kama hali imefika huko yafaa ccm mumpigie sugu magoti akawatulize vijana wake waliochoka na ukamdamizaji wa ccm
 
"SUGU" has arrived in Mbeya for peace negotiations almost 800 teenagers has been captured by police,but bombs still blasting
 
haki haiji yenyewe, lazima itafutwe...the late bob marley alisema, stand up for ur ryt....green city stand up.....tupo pamoja...kama hawataki mfanye biashara, wanafikiri mtakula nn......SONGA FRONT..But tujaribu kulenga wahusika pekee, n not poor innocent ppo...inorder to minimize colateral damage...
 
"SUGU" has arrived in Mbeya for peace negotiations almost 800 teenagers has been captured by police,but bombs still blasting

Kwa maana hiyo, wanaodai hizo haki ni under 18, meaning machinga wa mbeya wengi ni under 18, this implies, watu wengi mbeya hawaendi shule, au la wameishia njiani, au ni nini..??
I thnk hasira zao ni zaidi ya wanachodai, probably upungufu wa huduma za kijamii lyk skuls, pa1 na unemployment, which normaly leads to child labor, coz wazazi wanashndwa kusomesha watoto...kweli TZ inahitaj kiongozi........
 
Mda huu wanatangaza kuwa ondokeni barabarani hawataki kuona mtu.

unawajua watu wa mbeya nini we unazan wataondoka ka mtu aliweza kukimbia na bawa la ndege huku linawaka na akukweti anaungua mtu kabeba bawa spidi ya ajabu aje kuogopa bomu la mchozi leo?
 
hata Tunisia ilianzia huko huko nafurahi kuona watu wanajua haki na wajibu wao wakizulumiwa wanadai.watawala msitawale kwa uzoefu wa mwaka 1985,1995,2005 hiki ni kizazi kipya.
 
Kwa hiyo ghasia zimekwisha, siyo?

polisi wanafukuzana na wananchi mitaani na kupasua mabomu. - inanikumbusha enzi za ukoloni na karibu tunapata uhuru wakati wazaramo wa buguruni dar es salaam(buguruni ilikuwa wazaramo 100%) walipopambana na askari wa malikia hadi gavana akaingia TBC kuwaomba wananchi wa buguruni watulie na kutoa ushirikiano. Toka pale Buguruni ikaitwa ALABAMA ya Tanganyika jina ambalo lilifutiika badae.

Nasisitiza viongozi waache mambo ya siasa waingie kwenye uchumi na busara kulimaliza sekeseke hili. Hakuna mambo ya chadema wala nini hapa
 
mmmh hatari ...kila sehemu ARUSHA, BABATI, MBEYA DAR.....mmmmh ...
 
Jamani hii hali tutafika nayo wapi ? hiki kiburi cha serilikali kitaifikisha wapi hii nchi. chonde chonde kikwete na watu wako waoneeni huruma hawa watanzania. Wenyewe wanafikiri wamachinga wanakitu cha kukosa hapo zaidi ya mali walizonyang'anywa? watumie busara kwa hili..
 
Jaman vp Raisi wetu wa mbeya anasemaje mana hakuna faida ya kungana na tanzania kwa wakati huu we angalia watu wanaopenda kujifanya wao ni malufu kuliko wengine hata hawathamin utu wa wengine hayo ndiyo madhala yake
 
Mpaka sasa nimeamini nguvu ya umma ni noma na polisi si chochote tukilianzisha mza, ar,mbeya,mara, kil,shy,Irng kwa wakati mmoja ukombozi utapatikana ndani ya saa 24 tu.Ngoja na sisi hapa mwanza tutafute sababu tulianzishe, aftaloo jana kuna msikiti mmoja hapa mtaa wa misheni walikuwa wanahamasishana kuuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ijayo ya uchomaji wa kurwani, waki fanya vurugu kama ile ya majuzi kati hapohapo na siye tunaibukia
 
Mkuu hata hiyo busara na akili hawana. Wao wanajua kuwa kumshirikisha Sugu ni kumpa umaarufu. Viongozi wa aina hii watatuharibia kabisa nchi yetu.

sugu ndio mtu pekee anayeweza kusikilizwa na watu wa mbeya si kikwete wala kandolo au mjingamjinga mwingine yoyote atakaye sikilizwa in fact sugu haitaji umaarufu kwa sababu anao
 
Back
Top Bottom