Hali bado tete jijini Mbeya

Eti Safisha jiji,waanze kusafisha mahospitalini kwanya,maword hayatamaniki!merde
 
Sugu tangaza vita. Kaka zako kina Mwandosya na Mwakyembe wanapigania uhai India. wewe ndiyo Mustafa Adil Jalil wa Tanzani.
 
Bila serikali ya CCM kutambua kwamba inawajibika kwetu sisi wananchi na SI watawala wetu , hali kama hii itaendelea sehemu nyingi TZ.
 
Swali la mimi na wewe kujiuliza ni je CHADEMA ndiyo sababu au ni siasa za blackmail ili kuonekana majimbo hayo yana matatizo ili kupata sababu ya kuchanga vema karata za kisiasa?

Kwa mfano tu Mbeya, je watu wa Mbeya wanalilia haki yao ya kuzalisha kwa ajili ya taifa au wanalilia haki ya kugombana bila sababu ya msingi?

Mkuu huyo mtu anamatatizo kama avatar yake uwezi kushindana naye hata kwa hoja.
 
Yaani kumbe serikali ya CCM ni dhaifu kiasi hiki, fujo ndogo tu na wamachinga wanaletwa mpaka wanajeshi??????? Duh! yaani hii ni bonge ya clue kwamba wananchi wakiamua kuing'oa CCM is just a matter of weeks. Nashangaa sana kwa nini hawa jamaa wanashindwa kuelewa kwamba mabavu si suluhisho!
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

acheni kuingiza siasa katika masuala haya - hasa hili la mbeya. mkifanya hivyo mtaendelea kulea tatizo. hapa hili ni tatizo lililolelewa kwa miaka mingi. watu wasitake njia za mkato mkato. mabomu jana, mabonu leo - yataendelea hadi lini. ifike mahala viongozi watumie busara katika kuweka suluhu. hata mtoto kiboko cha kila siku humfanya awe sugu
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!
Nawasiwasi na elimu yako, ni kwamba wanachodai ni kwamba kwel waliambiwa wahame hapa, lakn serikali haikuwaonyesha maeneo ya kwenda, so waende wap?

Wakati hao watu ndo maisha yao yanaenda kwa biashara hiyo, so usiwe unakurupuka tu jaribu kufikiri kwamba c wote wanaajira rasmi kama wewe, so unapochangia jaribu kukumbuka ulipotoka usikute mama yako alikuwa anauza maandazi kweny sufuria lakni hakufanyiwa hvyo ndo maana leo unamaisha mazuri au una kazi, so tukumbuke tulipotoka
 
kUNA UKWLEI NDANI KATIKA HILI KWANI SERIKALI HAIISHI KU SABOTAGE WANANCHI KWA KUWA TU WATU WA CHAMA CHAO HAWAKUCHAGULIWA NA UKUMBUKE HADI HAO WAPINZANI KUTANGAZWA WANANCHI WALITUMIA NGUVU YA ZIADA @REJAO HAPA KUPONA KWA SASA NI KWA SERIKALI YA CHAMA TAWALA KUBADILISHA HIZI DIRTY POLITICAL TACTICS NA KUACHA UKATILI WAO

umeanza kuwa na akili.itabidi nikujumulishe kwenye list ya marafiki wangu wa jf.mia
 
nawasiwasi na elimu yako, ni kwamba wanachodai ni kwamba kwel waliambiwa wahame hapa, lakn serikali haikuwaonyesha maeneo ya kwenda, so waende wap? Wakati hao watu ndo maisha yao yanaenda kwa biashara hiyo, so usiwe unakurupuka tu jaribu kufikiri kwamba c wote wanaajira rasmi kama wew, so unapochangia jaribu kukumbuka ulipotoka usikute mama yako alikuwa anauza maandazi kweny sufuria lakni hakufanyiwa hvyo ndo maana leo unamaisha mazuri au una kazi, so tukumbuke tulipotoka

Usibishane na Rejao,check kwanza hata avatar yake!pua tu inaonyesha jinsi akili yake ilivyo!
 
Jaman ivi nchi hi hakuna viongozi mana tangu jana sijamsikia kiongoz yeyeto mkubwa serikalini japo hata kutoa tamko?yuko wapi wazili anayehusika na ajira naye talifa hajapata?
 
Back
Top Bottom