Hali bado tete jijini Mbeya

Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

huko ndiko watu waliko amka, hawataki kuonewa tena, na bora yao walichakachua majimbo mengine maana pasingetosha mjengoni!
 
Hawa polisi wanatakiwa wafanyiwe kitu kimoja tu. Uandaliwe mkakati wa kuwaua ndugu zao-watoto wao, kaka zao, mama zao na wake zao ikibidi ndiyo watatia aikili hivi hivi hawatajifunza hawa. Let's plan for it bcoz inaonekana hilo ndo litawafanya wajue kuwa kuua mtu ni kuchungu
 
jamani huku sasa ni vita wakati najiandaa kwenda ofisini mana nipo kikazi huku ttcl kutoka hotelini mabomu yanapigwa sio mchezo watu wamejifungia kazi imeanza upya huu mgogoro utaweka historia ktk hii nchi naona magari ya matangazo yanapita kutangazia watu kwamba mapambano yasitishwe watu wakae mezani hali ni mbaya hivi hapa nafanya maarifa nitafte gari linalokuja dar nirud hata kazi cwez fanya vzur
Mkuu, kwa hiyo unataka kukimbia?! Kwani wewe ni fisadi?! Hebu acha uoga banaa, jiunge nao angalau kwa leo tu, endeleza mapambano!!
 
jamani huku sasa ni vita wakati najiandaa kwenda ofisini mana nipo kikazi huku ttcl kutoka hotelini mabomu yanapigwa sio mchezo watu wamejifungia kazi imeanza upya huu mgogoro utaweka historia ktk hii nchi naona magari ya matangazo yanapita kutangazia watu kwamba mapambano yasitishwe watu wakae mezani hali ni mbaya hivi hapa nafanya maarifa nitafte gari linalokuja dar nirud hata kazi cwez fanya vzur

Yawezekana kabisa ukombozi ukaanzia huko huko Mbeya
Huko tatizo ni mkuu wa Mkoa Kandoro mnakumbuka na Mwanza kule makoroboi ilikuwa hivi hivi
Huyo Kandoro hafai kabisa ni mbabe asie kuwa na busara
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

Na hayo yanayoongozwa na ccm ambayo uzalshaj unaendelea yana nini kipya? Kuna maendeleo? Usitumie spinal cord kuwaza. Kilaza wewe....
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

kwani Mchinga na Bumbuli kuna maendeleo gani? ngoja tuwazingue kwanza. maendeleo baadaye.
 
Tunisia ilianza na MMACHINGA mmoja. Jamani hebu tusidharau hili. Sehemu kubwa ya nchi watu wako desperate. Spark kidogo inaweza washa moto mkubwa sana
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

Swali la mimi na wewe kujiuliza ni je CHADEMA ndiyo sababu au ni siasa za blackmail ili kuonekana majimbo hayo yana matatizo ili kupata sababu ya kuchanga vema karata za kisiasa?

Kwa mfano tu Mbeya, je watu wa Mbeya wanalilia haki yao ya kuzalisha kwa ajili ya taifa au wanalilia haki ya kugombana bila sababu ya msingi?
 
CCM na serikali yake wanataka kutuletea balaa ya vita ktk nchi yetu bila sababu. Amani siku zote ni tunda la haki, bila haki hakuna amani. wananchi wa Mbeya wanatafuta haki yao.
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

Lakini kuwafukuza watu katika sehemu wanayopatia riziki bila kufikiri alternatives ndiyo mpango wa serkali kuwaletea watu wake maendeleo? Au ni njia ya kuwachokoza ili waanze vurugu. Mi nahisi kwa hili serkali ndiyo inaanzisha vurugu!!
 
Kandoro kukurupuka kwake kama mwanza sasa yanamtokea puani. Vijana wa mbeya sio wa kutisha bila kuwapa mbinu mbadala ktk kipato chao. Nadhani hapo wangemuomba mbunge wao Mh: Sugu aongee na wapiga kura wake. Wasitumie nguvu kubwa bila sababu kwani sio wtz wote wa kutishwa na police na mabomu.

Mkuu hata hiyo busara na akili hawana. Wao wanajua kuwa kumshirikisha Sugu ni kumpa umaarufu. Viongozi wa aina hii watatuharibia kabisa nchi yetu.
 
Hawa polisi wanatakiwa wafanyiwe kitu kimoja tu. Uandaliwe mkakati wa kuwaua ndugu zao-watoto wao, kaka zao, mama zao na wake zao ikibidi ndiyo watatia aikili hivi hivi hawatajifunza hawa. Let's plan for it bcoz inaonekana hilo ndo litawafanya wajue kuwa kuua mtu ni kuchungu

I object your honor, huo ni uhaini utakaoliachia taifa hili makovu yasiyotibika

Lazima kutetea haki za wasio na hatia hata kama wazazi wao hawana habari ya kulinda na kutetea haki za raia wasiokuwa na hatia
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

kUNA UKWLEI NDANI KATIKA HILI KWANI SERIKALI HAIISHI KU SABOTAGE WANANCHI KWA KUWA TU WATU WA CHAMA CHAO HAWAKUCHAGULIWA NA UKUMBUKE HADI HAO WAPINZANI KUTANGAZWA WANANCHI WALITUMIA NGUVU YA ZIADA @REJAO HAPA KUPONA KWA SASA NI KWA SERIKALI YA CHAMA TAWALA KUBADILISHA HIZI DIRTY POLITICAL TACTICS NA KUACHA UKATILI WAO
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom