Haleluya Kuu....

Leo bhana wakati tunaendelea na ibada yetu ya pasaka kanisani ukaimbwa wimbo maarufu sana ambao ukiimbwa kipindi kama hiki pamoja mi dhambi yangu yote huwa najihisi kama napaa vile.......Kwa kiswahili huwa wanauita Haleluya Kuu

The Great Haleluyah
 
Back
Top Bottom