Haleluya Kuu....

jaman hv uwo wmbo cwez ku-download nautafta balaa anaejua msaada plz, mana ukimbwa naona kama npo heaven tena ukute choir imejfua vya kutosha dah..!
Uko wap ili nije kukufundsha kabisa na nikuachie copiez za notes in swahli na kilatini.....kama upo willing kuimba mkuu.,leo nimelia kwa furaha wakati nikiwa choir nauimba! Raha tupu...
 
Uko wap ili nije kukufundsha kabisa na nikuachie copiez za notes in swahli na kilatini.....kama upo willing kuimba mkuu.,leo nimelia kwa furaha wakati nikiwa choir nauimba! Raha tupu...

Huo wimbo una mguso wa kipekee asee
 
Mwal. wetu wa kwaya anaona uvivu kuufundisha.
huo bwana ni mgumu sana, sasa kama mwl si mzuri sana kwenye nota basi mtausikiliza tu wenzenu wakiimba. kuna sehemu mitaa ya kati pale kila sauti wanaimba maneno yake na tune yake.
kuna siku nakumbuka tupo home na kaka yangu, wote tulikuwa tunaimba, sasa nikawa nataka tuimbe wimbo fulani, nikawa nimeushahau jina ila najua maneno na tune ya sauti ya kwanza, nikawa namuimbia wala akawa hanielewi, kumbe kile kipande sauti ya tatu wanaimba maneno mengine na tune nyingine, kazi hapo
 
Back
Top Bottom