Haleluya Kuu....

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Leo bhana wakati tunaendelea na ibada yetu ya pasaka kanisani ukaimbwa wimbo maarufu sana ambao ukiimbwa kipindi kama hiki pamoja mi dhambi yangu yote huwa najihisi kama napaa vile.......Kwa kiswahili huwa wanauita Haleluya Kuu
 
Ulivyopaa mkuu dhambi huna tena? Heri ya PASAKA, Amefufuka kweli kweli Haleluyaa.
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalleeeeeeeeeeeeeeeeluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom