halaiki waandamana kudai posho zao za mbio za mwenge,shinyanga!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,278
watoto ambao walipamba gwaride la mwenge(halaiki)shinyanga wameandamana kwenda kwenye ofic ya mkuu wa mkoa,kudai posho zao walizoa hidiwa kuwa cku ya mwisho wangepata,cha ajabu hadi leo wanaona kimya!Rc anaulizwa anadai hao watoto wanachochewa ama kisiasa/wazazi wao!kwani makubaliano yao yalikuwa ni kuachiwa hayo mavazi watakayoya2mia cku ya kilele tu!ila anaona kuna mambo ya kisiasa hapo'kweli nchi hii mpaka watoto wameshaona kuwa bila maandamano hakieleweki!tunawaandaa vipi?na kwanini viongozi kila kitu wanakimbilia kuna kuna shinikizo la kisiasa,ina maana wamekuwa waoga kiasi hicho"mungu ibariki Tz. source.star tv(habari:
 
Back
Top Bottom