hala, hala jamani TIGO itavunja ndoa yangu

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
"MSICHANA WA MIAKA 18 MWENYE CHAT ID 519168 AMEPENDA PROFILE YAKO NA ANGEPENDA KUONGEA NA WEWE. ILI KUONGEA NAE PIGA 0901901901" asee nyie TIGO bana acheni mambo yenu kuntumia hizi meseji zenu bana mpaka usiku nyie mnatuma tu, wengine ndoa zetu changa na wake zetu watata. hizi meseji zinanikeraga sana.
 
GP pole sana mpwa, kama wife ni muelewa hiyo meseji haina tatizo hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
hiyo ni SWAGA tu ya sredi mpwa, tatizo hawa jamaa wanaboa sana, kwa siku moja meseji zisizopungua 5 kutoka kwao lazma ziingie kwenye kilongalonga changu!. TCRA sijui hawalijui hili?, nimegundua kwa kiasi kikubwa hawa jamaa wanatuibia kiaina. zamani kulikua na options za kujiondoa kwenye meseji zao za kipuuzi kama hizi, simply unasend STOP. siku hizi hata ukifanya hivyo aaah wapi, zinaingia kama kawaida. mara utashangaa wamekukata pesa kulipia caller tunes tena zingine hata hukusubscribe. naipenda tigo, mwaka wa 10 sasa natumia namba ile ile lakini ustaarabu wao sio katika kutuma hizi meseji, sometimes uko bize na kazi flani unaskia meseji imeingia, unajua dili hilo kusoma aaaah, meseji unakuta ndo kama hiyo!.
 
Hiyo ni huduma ambayo huwezi kuipata mpaka ujiunge!
 
Mi simo....
WAMEKATA ndo mpango mzima!

hata me naipena WAMEKATA ila huwa haina watu wa kunipigia sana. tena nisipokuwa kazini ndo kabisa huwez isikia ikiita sana sana utakuta sms za promotion tena kwa nadra sana. watu weng huwasiliana nami via tgo na vda!
 
charmcharm upo??
 
mi nilifurahi rais aliponitumia sms wakati wa sensa.....akinikumbusha nisisahau kuhesabiwa.....kumbe rais ana namba yangu bana....
 
"MSICHANA WA MIAKA 18 MWENYE
CHAT ID 519168 AMEPENDA PROFILE YAKO NA ANGEPENDA KUONGEA NA WEWE. ILI
KUONGEA NAE PIGA 0901901901" asee nyie TIGO bana acheni mambo yenu
kuntumia hizi meseji zenu bana mpaka usiku nyie mnatuma tu, wengine ndoa
zetu changa na wake zetu watata. hizi meseji zinanikeraga sana.

Ah! ulinistua sana bana! kumbe tigo hiyo! Heading imenitisha sana!
 
Siku hizi wameanza mtindo wa kupiga simu kabisa. Unaona namba mpya inaingia unadhani kuna jambo la umuhimu kumbe ni upuuzi wao wa caller tunes.
 
  • Thanks
Reactions: GP
"MSICHANA WA MIAKA 18 MWENYE CHAT ID 519168 AMEPENDA PROFILE YAKO NA ANGEPENDA KUONGEA NA WEWE. ILI KUONGEA NAE PIGA 0901901901" asee nyie TIGO bana acheni mambo yenu kuntumia hizi meseji zenu bana mpaka usiku nyie mnatuma tu, wengine ndoa zetu changa na wake zetu watata. hizi meseji zinanikeraga sana.

tigoism express yourself bana hiyoo....
 
mi nilifurahi rais aliponitumia sms wakati wa sensa.....akinikumbusha nisisahau kuhesabiwa.....kumbe rais ana namba yangu bana....

Hivi hajawahi kukutumia sms kwa kutumia namba ya mama salma? kama vipi nitumie mie mjombaako!
 
Ah! ulinistua sana bana! kumbe tigo hiyo! Heading imenitisha sana!
mkuu neno TIGO limemweka mshkaji wangu matatan na mpenziwe mpaka!!!

mshkaji aliserve jina (Jane TIGO) alifanya hivyo coz dada alikuwa na line 2, (nyingine Jane ait).

so mpenziwe alipo ona Jane TIGO akapanik kuwa hiyo ndo sifa ya huyo dada, palichimbika.
 
Back
Top Bottom