Hak'ya Mungu nitahamia Lumumba!

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
256
Kama itatoke, JK amelivunja baraza la Mawaziri kutokana na tuhuma za baadhi ya Mawaziri kuiibia nchi, na kisha akamshitaki hata mmoja wapo wa Mawaziri husika(hata kimagumashi tu kama ilivyo kwa akina Mramba na Mahalu), naahidi kwamba nitakwenda kukata kadi za CCM mimi na familia yangu na wafanyakazi wangu pamoja na hiyo nitakuwa nashinda pale ofisi za CCM Lumumba. Nitatafuata sehemu nyuma ya kichwa changu kujisahaulisha madudu yote ya Richmond, EPA, RADA, UDA, DOWANS, STIMULUS PACKAGE n.k.
 
Hapo kwenye red panaakisi uwezo wako wa kufikiri!...mpaka mfanyakazi wako unamchagulia chama? Kuna watu humu waliahidi kujinyonga kama CDM ingeshinda ubunge jimbo flani, mpaka leo wanaonekana JF kama kawaida!!!
 
sasa wewe ***** mbona unashangaza wana jf wenzio, watu wanaangalia chanzo cha mabadiliko na kukitunza ili kisife au kuondoka, kwenda kutunza bomba la maji badala ya chanzo cha maji huo ni uwendawazimu. CDM ndio chanzo cha mabadiliko unayoyaona, ikinyamaza lumumba nayo inapotea so ipe nguvu CDM kwa ustawi wa nchi na familia yako.
 
Eti ndugu, una uhusiano wowote na Dr(medical) Hamis Kigwangala?
 
japokuwa hawezi kufanya hivo, lakn ikitokea akafanya hivo hata zaid ya hapo kuwa na kadi ya ccm ni sawa na kukata Chet cha vichaa na kuvaaa magwanda ya vichaa ya pale milembe na hata sare za vichaa pale mhimbili!!
. Kamwe haitotokea kwa watu making!
 
Kama itatoke, JK amelivunja baraza la Mawaziri kutokana na tuhuma za baadhi ya Mawaziri kuiibia nchi, na kisha akamshitaki hata mmoja wapo wa Mawaziri husika(hata kimagumashi tu kama ilivyo kwa akina Mramba na Mahalu), naahidi kwamba nitakwenda kukata kadi za CCM mimi na familia yangu na wafanyakazi wangu pamoja na hiyo nitakuwa nashinda pale ofisi za CCM Lumumba. Nitatafuata sehemu nyuma ya kichwa changu kujisahaulisha madudu yote ya Richmond, EPA, RADA, UDA, DOWANS, STIMULUS PACKAGE n.k.

Ndugu usichelewe fanya hivyo fasta unakosa mengi mazuri kumbuka wahenga walisema chelewa chelewa,,,
 
Fanya haraka kwa wewe mtu mmoja Mkeo na mfanyakazi Wa ndani hautatusaidia saana kwenye mageuzi.

QUOTE=Said Bagaile;3797958]Kama itatoke, JK amelivunja baraza la Mawaziri kutokana na tuhuma za baadhi ya Mawaziri kuiibia nchi, na kisha akamshitaki hata mmoja wapo wa Mawaziri husika(hata kimagumashi tu kama ilivyo kwa akina Mramba na Mahalu), naahidi kwamba nitakwenda kukata kadi za CCM mimi na familia yangu na wafanyakazi wangu pamoja na hiyo nitakuwa nashinda pale ofisi za CCM Lumumba. Nitatafuata sehemu nyuma ya kichwa changu kujisahaulisha madudu yote ya Richmond, EPA, RADA, UDA, DOWANS, STIMULUS PACKAGE n.k.[/QUOTE]
 
Said Bagaile si ni Hamis Kigwangala?leo unatuambia huna kadi ya CCM?

Nami kanishangaza hapo, kama hadi leo hana kadi ya chama kilichomteua kugombea ubunge basi haya ndo maajabu ya siasa za Tanzania!!
Au alidhani watu hatulijui hili jina lake halisi la Saidi Bagaile? Enzi zile ukirudia primary unatumia jina la chimbo boys, wale class dodgers.
 
Back
Top Bottom