Hakunaga kama radio imaan .

Sawa kabisa, MOU ni mkataba wa kifisadi; lakini ni kwanini radio iman na taasis ndugu nazo zinalilia MOU?!, kwahiyo nao wanalilia ufisadi?,....CRYING BABIES!
Mwakaboko haijarishi rais kasema nini ufisadi wa aina yoyote lazima ukemewe kwani rais haghafiriki?mou ni mkataba wa kifisadi lazima uzungumzwe na wahusika wasikie,hebu fikiria mihela inayokwenda kwenye miradi ya kanisa serikali ingejenga mahospitali mangapi,shule,barabara!ni lazima kuendelea kukemea aina hiyo ya ufisadi,tuache ubinafsi tujaribu kuwa wazalendo kwanza.kama sio utapeli na ufisadi kwa nini mkataba huo wa mou ulifanywa kimyakimya.radio imaan sasa inashika nge kwenye mkia.siku zote anaeongea haki huwa hapendwa atapewa kila jina mara mchochezi nk ,ukweli lazima usemwe na ukweli unauma au mnataka vyombo vyote vya habari viwe vya kucopy na kupaste kutoka kwa obama?uzuri lazima usimwe lakini pia uovu lazima usemwe ,si kupotosha watanzania kama ilivyokuwa lolionda,kila kukicha magazeti yote loliondo ,loliondo matokeo yake leo watanzania wajuta,wameingizwa kwenye umasikini bila sababu,maana wengine walifikia hata kuuza mali zao ili waende kwa babu,yote hayo ni upotoshwaji wa vyombo vya habari amco kwao uzalendo ni 0,lkn hakunaga kama radio imaan.
 
Back
Top Bottom