Hakunaga kama radio imaan .

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
954
510
kwa waliosikiliza marudio ya kipindi cha mwangaza kwa jamii kilichorushwa kuanzia saa 3.15 jana usiku watakubaliana na mimi kwamba hakunaga kama radio imaan.katiba ilidadavuliwa hasa na weledi mpaka raha.
 
Shida wanaidadavua katiba kwa Chuki, hasira na lawama, na si kwa kujenga!
 
Hata siijui ni radio gani hiyo, inapatikana masafa yapi?
 
tupe kwa muhtasari basi nasi tu lo mbali tuweze kusikia. maana bado radio hiyo kuwekwa kwenye satelite ili na tulio nje ya nchi tuweze kuisikiliza.

Tuliambiwa 15 Jan 2012 itakuwa mtandaoni sijui kama itawezekana.
 
ram kwakwelii unakosa mambo mengi sana mazuri .huijui radio imaan?wewe inaonekana si msikilizaji wa radio.
 
Ni muhimu kuchagua radio za kusikiliza kama kweli tunaitakia nchi yetu mema. Radio imejaa uchochezi na kulalamikalalamika. Mimi naiskiliza tu iwapo nitalazimika kufanya hivyo; mfano nikiwa kwenye daladala.
 
cjawai isikia kwenye redio yangu, ar u listening in a dedicated frequency au?
 
kweli hakunaga kama redio imani ina wasomi wanaofundisha kuwa jua huzunguka dunia na sio dunia kuzunguka jua. Kweli hakunaga na serikali ipo kimya.
 
hawa jamaa huwatumia lecturers fulani wa pale MUM, kwenye yale majengo waliyopewa na Mh.Ben, yaani wale jamaa wanajadili masuala kama walimu wa sijui wa wapi, maana kila siku wanalalamikia MoU, wakati suala hilo tayari lilishatolewa ufafanuzi na MKUU WA NCHI, sasa sijui wale jamaa hawaelewi nini? wanaumia sana kwa 7bu hawana cha kupeleka serikalini ili nao wapate. kuna madaimkuwa nao walijaribu wakapigwa chini. Swali langi kwao ni hili proposal hiyo aliandaa nani? Kama ni akina ponda walitarajia nini, mtu mwenyewe yule shule ndogo atandika cha maana.

Hiyo radio kazi yake kubwa ni kubomoa UTZ, na kutukana kanisa katoliki
 
kwa waliosikiliza marudio ya kipindi cha mwangaza kwa jamii kilichorushwa kuanzia saa 3.15 jana usiku watakubaliana na mimi kwamba hakunaga kama radio imaan.katiba ilidadavuliwa hasa na weledi mpaka raha.

radio imani imetengenezwa nchi gani? je ina fanana na panasonic
 
hii redio sisikiliza kabisa walitangaza mwezi umeandama nigonga menu kama sina akili baadaye mufti akagoma kuwa hakuna mwezi aaaaah
 
Mwakaboko haijarishi rais kasema nini ufisadi wa aina yoyote lazima ukemewe kwani rais haghafiriki?mou ni mkataba wa kifisadi lazima uzungumzwe na wahusika wasikie,hebu fikiria mihela inayokwenda kwenye miradi ya kanisa serikali ingejenga mahospitali mangapi,shule,barabara!ni lazima kuendelea kukemea aina hiyo ya ufisadi,tuache ubinafsi tujaribu kuwa wazalendo kwanza.kama sio utapeli na ufisadi kwa nini mkataba huo wa mou ulifanywa kimyakimya.radio imaan sasa inashika nge kwenye mkia.siku zote anaeongea haki huwa hapendwa atapewa kila jina mara mchochezi nk ,ukweli lazima usemwe na ukweli unauma au mnataka vyombo vyote vya habari viwe vya kucopy na kupaste kutoka kwa obama?uzuri lazima usimwe lakini pia uovu lazima usemwe ,si kupotosha watanzania kama ilivyokuwa lolionda,kila kukicha magazeti yote loliondo ,loliondo matokeo yake leo watanzania wajuta,wameingizwa kwenye umasikini bila sababu,maana wengine walifikia hata kuuza mali zao ili waende kwa babu,yote hayo ni upotoshwaji wa vyombo vya habari amco kwao uzalendo ni 0,lkn hakunaga kama radio imaan.
 
Radio Imaan.Huwatoa watu kwenye giza na kuwapeleka kwenye mwanga.kwa UWEZO WA MWENYEZI MUNGU SUB'HANAHU WATA'ALA
 
Mwakaboko haijarishi rais kasema nini ufisadi wa aina yoyote lazima ukemewe kwani rais haghafiriki?mou ni mkataba wa kifisadi lazima uzungumzwe na wahusika wasikie,hebu fikiria mihela inayokwenda kwenye miradi ya kanisa serikali ingejenga mahospitali mangapi,shule,barabara!ni lazima kuendelea kukemea aina hiyo ya ufisadi,tuache ubinafsi tujaribu kuwa wazalendo kwanza.kama sio utapeli na ufisadi kwa nini mkataba huo wa mou ulifanywa kimyakimya.radio imaan sasa inashika nge kwenye mkia.siku zote anaeongea haki huwa hapendwa atapewa kila jina mara mchochezi nk ,ukweli lazima usemwe na ukweli unauma au mnataka vyombo vyote vya habari viwe vya kucopy na kupaste kutoka kwa obama?uzuri lazima usimwe lakini pia uovu lazima usemwe ,si kupotosha watanzania kama ilivyokuwa lolionda,kila kukicha magazeti yote loliondo ,loliondo matokeo yake leo watanzania wajuta,wameingizwa kwenye umasikini bila sababu,maana wengine walifikia hata kuuza mali zao ili waende kwa babu,yote hayo ni upotoshwaji wa vyombo vya habari amco kwao uzalendo ni 0,lkn hakunaga kama radio imaan.

Siuna ona sasa? Ndio kazi kulalamika kila cku chukueni hatua bhana si mlishaambiwa na mwenzenu Jk muache kulalamika? Kazi mnayo sisi tunasonga mbele zaidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom