HAKUNA Waziri atakayejiuzulu; Rungu la Serikali kumwangukia CAG kwa ripoti aliyoitoa

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Selikali itakabiliana na ofisi ya CAG kwa Vitisho kushinikizwa kuuficha ukweli kwenye ripoti zijazo.

Inasemekana mbinu zitakazotumika ni sawa zile zilizotumika kuinyima makali TBC.

Imefahamika kuwa HAKUNA WAZIRI MWENYE MPANGO WA KUJIUZURU AU ATAKAEJIUZURU BALI ULIKUWA MKAKATI WA MAWAZIRI Kuonewa huruma na wabunge wa CCM

Mpango ni wakuwazubaisha wafunike kombe na riport zingine zijazajo ziipambe Selikali

Mawaziri wanajitetea, wao kujiuzuru ni kuiua CCM NA kuupa nguvu upinzani

Kuna hoja kuwa kunabaadhi ya fedha zilizoyeyuka Zilitumiwa na CCM IGUNGA, ARUMERU NA NYINGINE ZITATUMIKA KUREJESHA MAJIMBO YATAKAYOTENGULIWA NA MAHAKAMA KAMA ARUSHA MJINI, SEGEREA NA SONGEA.

Mbinu atakayotumia mnafiki Mtoto wa Mkulima ni kujiliza tena!

Wabunge wote wa ccm jana wamepunguzwa munkali na JK atakuja kuuzima kabisa na mkakati uliopo ni kuwatafuta waongeaji mmojammoja na kuwazima kabisa kwa mbinu yoyote Ama kwa KUWAOMBA,
AMA KWA KUWAHONGA
AMA KWA KUWATISHA AU KUWAAHIDI VYEO NA UWAAZIRI

INASEMEKANA WATAOMBWA KUMWACHA JK AVUNJE BARAZA BILA SHINIKIZO NA HATALIVUNJA
 
Mimi sielewi kabisa, hayo yote watakayofanya ndio yanaimarisha chama ama kubomoa?

Anyway, as I Napoleon once said "Dont interrupt your enemy when they are making mistakes"
 
Kuna Tetesi zingine huwa hazina maana, Zito ashapata sahihi 70 sasa unafikiri pinda atakubali kikao kichajo asulubiwe?

Lazima mawaziri waondoke tu kwanza hata bajeti ijayo hawatoki kama hawatabadilishwa sasa hivi..
 
Selikali itakabiliana na ofisi ya CAG kwa Vitisho kushinikizwa kuuficha ukweli kwenye ripoti zijazo.

Inasemekana mbinu zitakazotumika ni sawa zile zilizotumika kuinyima makali TBC.

Imefahamika kuwa HAKUNA WAZIRI MWENYE MPANGO WA KUJIUZURU AU ATAKAEJIUZURU BALI ULIKUWA MKAKATI WA MAWAZIRI Kuonewa huruma na wabunge wa CCM

Mpango ni wakuwazubaisha wafunike kombe na riport zingine zijazajo ziipambe Selikali

Mawaziri wanajitetea, wao kujiuzuru ni kuiua CCM NA kuupa nguvu upinzani

Kuna hoja kuwa kunabaadhi ya fedha zilizoyeyuka Zilitumiwa na CCM IGUNGA, ARUMERU NA NYINGINE ZITATUMIKA KUREJESHA MAJIMBO YATAKAYOTENGULIWA NA MAHAKAMA KAMA ARUSHA MJINI, SEGEREA NA SONGEA.

Mbinu atakayotumia mnafiki Mtoto wa Mkulima ni kujiliza tena!

Wabunge wote wa ccm jana wamepunguzwa munkali na JK atakuja kuuzima kabisa na mkakati uliopo ni kuwatafuta waongeaji mmojammoja na kuwazima kabisa kwa mbinu yoyote Ama kwa KUWAOMBA,
AMA KWA KUWAHONGA
AMA KWA KUWATISHA AU KUWAAHIDI VYEO NA UWAAZIRI

INASEMEKANA WATAOMBWA KUMWACHA JK AVUNJE BARAZA BILA SHINIKIZO NA HATALIVUNJA
Kwa uandishi wako huu napata tabu sana kuamini kuwa na wewe ni great thinker. By the way, una hoja lakini umeshindwa kuiwasilisha vizuri.
 
Uzushi mwengine hata hauna mantiki. Wangeikataa hiyo ripoti kwenye kamati na siyo katika stage hiyo iliyofikia.
 
Hoja hapa kama iliwezekana kwa PCCB, TBC, TUME YA UCHAGUZI na sasa MAHAKAMA vipi washindwe kwa CAG
 
Kweli kama CCM wanafikiria hivyo basi CCM haina watu kabsaaaa wamejaa maboya tuuu huko
 
Whatever is excellent kwa chadema,wasipojiuzulu ndo kabisa wamerahisisha jukwaa la slaa na lema.
 
jamaa huyu ni gamba ! hoja uliyoleta umekaa chini ukatunga na tunajua wewe ni gamba haswa na unahumia sana nduguzo kuondoka madarakani lakini ujue sio mwisho wa nguvu ya uma!
 
hakuna kitu kama hicho
mda sio mrefu tutasikia walioadika barua,imeshasambaa sana
kila mwananchi anajua hata babu yangu kule kijijini anajua
lazima wangoke wote nane hivi leo live
 
Itapendeza sana kama mambo itakuwa hivyo!
Watakuwa wamesaidia kurahisisha M4C beyond expectation

ni kweli mkuu na iwe hivyo duuu VIJANA TUJITOKEZE KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA 2015, HAKIKA ITAKUWA MTELEMKO SANA!
 
Hoja za kitoto zisizo indicate source zinatupotezea image ya great thinkers humu,waliokutuma kawaambie tumekustukia!
 
Back
Top Bottom